Elections 2010 Wabunge Wengi Wakosea Viapo Vyao!

No question, inabidi warudiea viapo vyao.

Bado nimekuwa natafuta sheria ya viapo kuangalia legality ya rais kuapa kwa kutumia katiba badala ya msahafu. Nilikuwa na kopi yangu wakati wa sakata la Shitambala kujiapisha wakati wa uchaguzi mdogo wa Mbeya, lakini siioni tena. Kama mwanasheria Buchanan unayo kopi ya sheria hiyo naomba utuwekee hapa tujipige msasa tena.

Mmmh, umenikumbusha mambo ya Shitambala jinsi ccm/cuf walivyokomalia kuhusu kiapo lakini hapa wanafanya madudu! Anyway, nitaangalia hiyo sheria ya viapo na kuibandika hapa baadaye!
 
jaji alikosea mara moja (position ya neno faithfully)
obama naye alikosea mara moja ("... to the united states..." badala ya "... of the united states....")

Asante kwa kunikumbusha/kutukumbusha ilivyokuwa!
 
Back
Top Bottom