Unaweza ukatufafanulia kisomi zaidi ili tujue ni shida gani na pia uzilinganishe na sehemu nyingine utuambie zimezidianaje. Matatizo ya utafiti ukiwa umekaa sehemu moja.Wafuasi wa CDM ni wagumu kuwa karibu na UHALISIA; mfano mdogo katika wilaya ya Kinondoni; majimbo yenye kero lukuki ni KAWE NA UBUNGO. Jimbo la Kinondoni kero zimedhibitiwa na Mbunge husika, Mheshimiwa Iddi Azzani ambaye yupo karibu na wananchi
Watanzania wenzangu nilikuwa na ziara katika majimbo ya Kawe, Ubungo, Mbeya Mjini, Iringa Mjini, Rombo, Singida Mashariki, Hai na Kigoma Kaskazini nimekutana na mambo yasiyoridhisha katika halmashauri husika. Wabunge wao wameshindwa kukaa chini ili kusikiliza kero za wananchi na kuzitafuatia ufumbuzi.
Wananchi wa maeneo hayo wamesema "wanajuta kuwachagua wabunge ambao wawapo bungeni wanashikiria maslahi ya chama zaidi kuliko matakwa ya wapiga kura". Mbaya zaidi wabunge wao wanatumia muda mwingi kuhamasiha wananchi washiriki maandamano badala ya kuwahimiza wafanye kazi ili wajiletee maendeleo. Wanachadema muwe wawazi kuwaambia wabunge wenu WABADILIKE!!

Rafiki ziara yako ilikuwa ya kichama? Kiserikali? Au Binafsi? Na je, hadi unayafikia majimbo hayo uliyotaja hali ilikuwaje kwenye majimbo mengine ya chama chako? Husipo angalia utasababisha uvunjifu wa amani.Watanzania wenzangu nilikuwa na ziara katika majimbo ya Kawe, Ubungo, Mbeya Mjini, Iringa Mjini, Rombo, Singida Mashariki, Hai na Kigoma Kaskazini nimekutana na mambo yasiyoridhisha katika halmashauri husika. Wabunge wao wameshindwa kukaa chini ili kusikiliza kero za wananchi na kuzitafuatia ufumbuzi.
Wananchi wa maeneo hayo wamesema "wanajuta kuwachagua wabunge ambao wawapo bungeni wanashikiria maslahi ya chama zaidi kuliko matakwa ya wapiga kura". Mbaya zaidi wabunge wao wanatumia muda mwingi kuhamasiha wananchi washiriki maandamano badala ya kuwahimiza wafanye kazi ili wajiletee maendeleo. Wanachadema muwe wawazi kuwaambia wabunge wenu WABADILIKE!!
Watanzania wenzangu nilikuwa na ziara katika majimbo ya Kawe, Ubungo, Mbeya Mjini, Iringa Mjini, Rombo, Singida Mashariki, Hai na Kigoma Kaskazini nimekutana na mambo yasiyoridhisha katika halmashauri husika. Wabunge wao wameshindwa kukaa chini ili kusikiliza kero za wananchi na kuzitafuatia ufumbuzi.
Wananchi wa maeneo hayo wamesema "wanajuta kuwachagua wabunge ambao wawapo bungeni wanashikiria maslahi ya chama zaidi kuliko matakwa ya wapiga kura". Mbaya zaidi wabunge wao wanatumia muda mwingi kuhamasiha wananchi washiriki maandamano badala ya kuwahimiza wafanye kazi ili wajiletee maendeleo. Wanachadema muwe wawazi kuwaambia wabunge wenu WABADILIKE!!
Hivi mheshimiwa Hawa Ghasia aliuona mkokoteni ule ulivyochoka, maana ile zahanati ya kiromba ipo jimboni kwake Mtwara vijijini! Halafu ndugu Mafilili hasemi chochote kuhusu hili na Ghasia wake.Serikali inamiliki magari yenye thamani ya TSHS 5 Trillion kwa ajili ya wakubwa, lakini walipa kodi wanapewa mkokoteni wa kubebea wagonjwa. Na sasa mkokoteni umeharibika wananchi wamebaki kushangaa! 50 yrs ya uhuru!
Wakati mwingine unafiki wako huniacha hoi kabisa! mara nyingi tumemsikia mheshimiwa Mnyika akipiga kelele bungeni kuhusu hizo kero, sasa unataka afanye nini zaidi ya hapo? watu waaina yenu mnapaswa kupuuzwa kwani mnayoyasema sio mnayoyaamini na kuyasimamia. Majungu na unafiki vimewashika mpaka makalioni mwenu!Mimi nisemee jimbo langu la Ubungo. Hili jimbo ni kubwa mno yaani tokea Sinza/manzese hadi mpakani na kibaha na ni jimbo ambalo lina changamoto nyingi sana huenda kuliko majimbo yote ya Dar. Jimbo la Ubungo lina mbunge makini ambaye mimi binafsi namuunga mkono sana. Ila kuna jambo moja ambalo wananchi wanalalamika kuhusu Mnyika nalo ni kwamba yeye anajikita zaidi kwenye masuala ya kitaifa kuliko ya kijimbo. Kwangu mimi huwa nazikubali sana hoja zake za kitaifa kwa kuwa huwa ni hoja nzuri lakini pia nimshauri kuwa pamoja na hizo hoja nzuri watu wanataka ajikite kwenye hoja za jimbo. Kuna changamoto za maji na barabara inabidi ajikite huko kuwatetea wapiga kura wake.
Watanzania wenzangu nilikuwa na ziara katika majimbo ya Kawe, Ubungo, Mbeya Mjini, Iringa Mjini, Rombo, Singida Mashariki, Hai na Kigoma Kaskazini nimekutana na mambo yasiyoridhisha katika halmashauri husika. Wabunge wao wameshindwa kukaa chini ili kusikiliza kero za wananchi na kuzitafuatia ufumbuzi.
Wananchi wa maeneo hayo wamesema "wanajuta kuwachagua wabunge ambao wawapo bungeni wanashikiria maslahi ya chama zaidi kuliko matakwa ya wapiga kura". Mbaya zaidi wabunge wao wanatumia muda mwingi kuhamasiha wananchi washiriki maandamano badala ya kuwahimiza wafanye kazi ili wajiletee maendeleo. Wanachadema muwe wawazi kuwaambia wabunge wenu WABADILIKE!!
Wabunge wote wa CDM hawana tija na mtaona watakavyong'olewa 2015!
Hivi mheshimiwa Hawa Ghasia aliuona mkokoteni ule ulivyochoka, maana ile zahanati ya kiromba ipo jimboni kwake Mtwara vijijini! Halafu ndugu Mafilili hasemi chochote kuhusu hili na Ghasia wake.