Wabunge wapya wa CUF vs CHADEMA waparuana Dodoma

ushairi..upinzani Bunge la JMT waende tu, bila kujali wanatambua ama hawaitambui serikali.

Dodoma sio kushauri serkali tu kuipinga unaruhusiwa vilevile
 
assadsyria3

embu zitaje nchi za magharibi zinazotaka uchaguzi urejewe
 
Last edited by a moderator:
Safari hii hakuna ujinga atakaekosa vipindi vitatu nje, ndugai fanya kazi yako.

Enzi za kuwajibika ndo zipo Tz kwa sasa na sheria ziko tayari kuchinja watu
 
Eliya ad2 mungu wa majeshi ndo mwenye haki kazi,na raisi ni kainuliwa kwa mafuta ya eliya na ndio maana anakauli ya hapa kazi tu.
 
Dunia nzima wanaotaka uchaguzi zanzibar urudiwe ni ccm tu sababu wameshindwa vibaya, bora washindwe tu hakuna namna tena tone z'bar ikigeuka dubai kibiashara
 
Dunia nzima wanaotaka uchaguzi zanzibar urudiwe ni ccm tu sababu wameshindwa vibaya, bora washindwe tu hakuna namna tena tone z'bar ikigeuka dubai kibiashara

Kama CUF kweli wameshinda wanahofu nini kurudia uchaguzi?!
 
Safari hii hakuna ujinga atakaekosa vipindi vitatu nje, ndugai fanya kazi yako.

Utakosaje vikao vitatu wakati hujaapishwa? Kuna tofauti kati ya Mbunge na mbunge mteule.
Kama haujaapa Bunge halikutambui, sasa hii taarifa ya vikao vitatu inatoka wapi?
 
Mtoa mado mbona hueleweki umeandika utumbo.
 
legitimise, legalise and justifying the outcome of General Election in Tanzania and Zanzibar

SI WANA WANASHERIA ILA NIONAVYO MIMI UTAIFA KWANZA SUALA LA ZANZIBAR LITATUTULIWA VIZURI NDANI YA BUNGE
 
mkuu ur mistaken, mm sina chama Bali napenda siasa safi na uzalendo

Mnafiki mkubwa wewe nani asiyejua unavyo waponda wenzako hali nawe ni mpinzani nataka nikwambie siku chama chenu kitakapo kuwa na nguvu ndipo utaona machungu ya kuwa mpinzani
 
ulisahau na hiki wana chadema kuwa busy kuwahujumu cuf kama walivyofanya segerea na sehemu nyingine ili wawe wapinzanu peke yao
 
assadsyria3

Wewe na MsemajiUkweli ni mtu mmoja? Habari hii pia kaitoa kwa maandishi hayahaya kasoro tu kichwa cha habari!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…