Wasubiri kuaibika, wahame chama, then wagombee kupitia chama kingine, hapo maendeleo yanapimwa kwa kuhama chama? Wananchi kama wanajitambua hawawezi kuwachagua tena kwani kuna harufu ya ujinga, issue ilikuwa kuwa bungeni kutatua matatizo ya wananchi, sasa ukijiondoa sasa utachaguliwa kwa ajili ya nini? Kweli mtaji wa siasa ni ignoranceNyalandu ameweka sytle ya kuhama vyama.
Tetesi kutoka ndani ya chama fulani ni kwamba kuna wabunge wanne ambao watahama chama chao. Wengine walionekana jijini Dar es Salaam walipokuwa wakitoka katika kikao chao cha siri.
Pamoja na kwamba maamuzi ya mwisho yatatolewa hivi karibuni kuhusu namna ya kujitangaza kuhama chama chao, bado kuna shinikizo kuwa wajitangaze kwa wakati mmoja ila wapo wanaotamani kila mtu akajitangazie jimboni kwake.
Wakihama, watarejea tena kugombea kupitia chama watakachokwenda. Watu wanaamka, na wanafanya msimu wa kampeni kuanza. Kila wanapojiengua tume ya uchaguzi inabidi kutangaza utaratibu wa uchaguzi.
Tuendelee kusubiri.
Mungu ibariki Tanzania
Nahamia Chadema, mnipokee...tehe.stroke tangu nianze kukufahamu humu JF leo umeongea kitu cha maana sana, unaanza kuwa na akili sasa, umekua ee
Mkuu kaziii ipooo. Na badoo TRA wanatakaa chaoo wakijaa hapooNimenunua luku elfu 40 nifanye kaz nipate faida hata elfu kumi wamekata umeme.nikichek kwenye hii karatasi ya luku serikali imelamba chao hapa tayari,siku inaisha nashindwa fanya kazi yangu napata hasira kweli
Ulitaka akupitishe wwCcm roho inaume.sijui kwanini mkwele alimpitisha hili bulldozer.
Swissme
hahahaha, haya banaNahamia Chadema, mnipokee...tehe.
Tutajie majina siyo kusubiri mtu keshahama ndo mnajifanya eti tulimtabiria kuhama..!!Nyalandu ameweka sytle ya kuhama vyama.
Tetesi kutoka ndani ya chama fulani ni kwamba kuna wabunge wanne ambao watahama chama chao. Wengine walionekana jijini Dar es Salaam walipokuwa wakitoka katika kikao chao cha siri.
Pamoja na kwamba maamuzi ya mwisho yatatolewa hivi karibuni kuhusu namna ya kujitangaza kuhama chama chao, bado kuna shinikizo kuwa wajitangaze kwa wakati mmoja ila wapo wanaotamani kila mtu akajitangazie jimboni kwake.
Wakihama, watarejea tena kugombea kupitia chama watakachokwenda. Watu wanaamka, na wanafanya msimu wa kampeni kuanza. Kila wanapojiengua tume ya uchaguzi inabidi kutangaza utaratibu wa uchaguzi.
Tuendelee kusubiri.
Mungu ibariki Tanzania
Nyalandu ameweka sytle ya kuhama vyama.

Shidaa mkuu.afu anatokae mjinga anakwambia "ccm chama dume"tumejiajiri bado mambo yapo hivi wanashindwa kutuwezesha kwa umeme wa uhakika tu tuulipie tufanye kazi tupate chochote.Mkuu kaziii ipooo. Na badoo TRA wanatakaa chaoo wakijaa hapoo
Tumekalia umbea kama wanawake,tufanye kazi hali ni ngumu.
Bei mbayaBei ya kumuiba diwani ni 2ml.
Bei ya kiongozi wa jumuia ya chama ni 5ml-10ml.
Bei mbunge ni 15ml-25ml.
[HASHTAG]#inapendeza[/HASHTAG] sana.
Ikiwa wanajeshi na majaji ni wana CCM ijekuwa katibu mkuu!Tume ya utumishi wa umma na ile ya utawala bora watuambie kama alichokifanya Kitila Mkumbo ni sahihi kwa mtumishi wa umma kuvaa sare za chama na kujitangaza hadharani kujihusisha na siasa za chama hicho huku bado ni Katibu Mkuu wa wizara. Hii nchi tuliikuta ikiwa na kanuni na taratibu na miiko ya utumishi wa umma, tusiharibu.
Ikiwa ni shamba la bibi nani anajali zaidi ya matumbo na kuwadharau wananchi wapigao kura. Siasa mtajiTume itafakari wanaohama wasigombee wanaitia hasara nchi na wananchi waliowaamini
Hiyo ndio CCM na huo ndio UZALENDO uliotukuka!!!Tume ya utumishi wa umma na ile ya utawala bora watuambie kama alichokifanya Kitila Mkumbo ni sahihi kwa mtumishi wa umma kuvaa sare za chama na kujitangaza hadharani kujihusisha na siasa za chama hicho huku bado ni Katibu Mkuu wa wizara. Hii nchi tuliikuta ikiwa na kanuni na taratibu na miiko ya utumishi wa umma, tusiharibu.