Wabunge wanastahili kulipwa mshahara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wanastahili kulipwa mshahara?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyumisi, Jun 12, 2011.

 1. N

  Nyumisi JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  Jamani wanaJF mimi naomba ushauri tu kama hawa ndugu zetu wanaustahili huo mshahara mnono kiasi hicho hadi wanakanyagana kuingia mjengoni. Kwanza, mwajiri wao ni nani, wameajiriwa kwa masharti yapi (ya kudumu au ya muda), majukumu waliyopewa ni yepi, ngazi yao ya mshahara ni ipi. Mimi nafikiri wao ni sawa na madiwani wanastahili kulipwa posho wanapohudhuria vikao. Au mnaonaje jamani.
   
 2. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Maswali yako mazuri sana, ngoja nitafakari na kutafuta majibu ndugu!
   
 3. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,305
  Trophy Points: 280
  Mkuu huo ni udadisi mzuri kwelikweli kwani kuna baadhi ya nchi ubunge ni nafasi ya kujitolea na malipo wanayopewa ni posho tu...
   
Loading...