Wabunge wamtolea uvivu Rais Magufuli

Wabunge wamtolea uvivu Rais Magufuli

Tuache kufuatilia vitu vya hovyo huyo ni Halima Mdee yuko Mbugani unategemea atavaa Suti na Tai na viatu vya mchuchumio? Tuwe na mambo ya Msingi yanayotupeleka mbele si kuangalia mazingira hayo, hapo kaenda kupumzika lazima avae casual
 
Unataka wawe wabunge gani ? Mwacheni Huyo binti na maisha yake binafsi baada ya kazi.kwanini mumnyime raha hata akiwa mapumzikoni ? Unaona hufurahishwi na hiyo kaptula au tshirt,funga macho.hao wa ccm wanavyovivaa mpaka Lumumba kwenda kuchukua ujira wao baada ya kupanua midomo yao mitandaoni, huvioni ? Kwenda zako huko na wivu,uonevu wako wa kiccm !
 
Ushamba uliambiwa MTU akiwa mbugani kwenye mapumziko anatakiwa kuvaa suti kama askofu
Anatakiwa avae safari suti kama zile mnazoita magwanda. Hapo ndio mahali pake, sema mwenyekiti wenu alianza kuvaa ktk kampeni awamu ile basi wenzie wakaiga ndio ikageuka vazi la kichama kama nembo yenu.
 
Anatakiwa avae safari suti kama zile mnazoita magwanda. Hapo ndio mahali pake, sema mwenyekiti wenu alianza kuvaa ktk kampeni awamu ile basi wenzie wakaiga ndio ikageuka vazi la kichama kama nembo yenu.
Kwahiyo?
 
Kwa hiyo hakuna mbaya amebadili matumizi tu. Ni maamuzi binafsi ingawa ile safari suti ni imara haichaniki kirahisi hata ukinaswa na mwiba na pia rangi zake haziwakeri au kuwavutia wanyama hatari kule porini incase umeshuka kama alivyofanya huyo Halima au akienda kuchimba dawa nyuma ya gari. Lile gwanda ni kwa ajili ya kuukinga mwili zaidi ngozi dhidi ya jua, miiba, wadudu n.k. Pia inawekwa mifuko mingi mikubwa kuhifadhi vitu muhimu kwa Safaris.
 
Nguo za rangi rangi kali na angavu ni hatari kwa kuvuta wanyama toka mbali. Fuatilia tabia za wanyama pia angalia mfano wa ule mchezo wa ng'ombe vichaa wa ule wanaopendelea Spain, Latinos( Mexico) na USA nadhani Texas, wale Bulls wanachukia ile nguo nyekundu. Kule porini alikokuwa Halima nadhani Mbogo/Nyati/Buffalo wanaweza kuwa irritated na nguo Very black au/na hiyo very white alizovaa Halima.
 
Back
Top Bottom