Wabunge Waliopita Bila Kupiñgwa

Wabunge Waliopita Bila Kupiñgwa

Mara zote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi kwenye uchaguzi mkuu, kumekuwa na wabunge hasa wa CCM ambao huwa tunaambiwa wamepita bila kupingwa. Napenda kufahamu kutoka majimboni je, ni wabunge gani ambao wamepita bila kupingwa. Karibuni tutaarifiane.

Mbinu wanazotumia CCM kupita bila kupingwa ni ;-)

  1. Wagombea wa CCM kuwahonga wagombea wa upinzani, hivyo kujitoa dakika za mwisho, hivyo mgombea wa CCM kukosa mpinzani
  2. Wagombea wa CCM kuwateka wagombea wa upinzani hasa wale wanaorudisha fomu siku ya mwisho (Ref Celine Kombani saga)
  3. Wasimamizi wa uchaguzi kukimbia ofisi zao siku ya mwisho ya kurudisha fomu ili kukwepa kupokea fomu za wagombea wa upinzani
  4. Wagombea wa upinzani kwa kutojua au kwa makusudi kukosea kujaza fomu, hivyo wanapowekewa pingamizi mahakamani na wagombea wa CCM wanaenguliwa. Mathalani wagombea CHADEMA Meatu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa waligongewa muhuri ulioandikwa CDM, badala ya CHADEMA. Wagombea wa CCM walipokwenda mahakamani kuweka pingamizi, mahakama ikawaengua kwa kigezo kwamba CDM SIYO SAWA NA CHADEMA, which is technically right
  5. Wagombea wa CCM kutumia dola kuwaengua wagombea wa upinzani kama kuwasingizia kwamba sio raia, mfano Masha na Wenje 2010
  6. Ujinga wa vyama vya Upinzani kutosoma vizuri sheria za uchaguzi, mathalani pale chama kinapomusimamisha mgombea ambaye alishawahi kuwa convicted before the court of law.
  7. Viongozi wa vyama vya upinzani kuuza majimbo kwa wana-CCM kama alivyofanya Zitto Mpanda kwa PM.

Tatizo ni kwamba mbinu hizi zote zinajulikana lakini viongozi wa upinzani hawaweki MKIKAKATI ya kuikabili.

Mfano kwanini viongozi wa Upinzani/UKAWA wasiwaelekeze wagombea wao wote nchi nzima kurudisha fomu mathalani siku 3 kabla ya deadline. Ili kama litatokea tatizo basi UKAWA waweze kupata replacement kabla ya deadline.

Lakini cha kushangaza utawaona UKAWA wakisubiri au kuwaacha wagombea wao kurudisha fomu zao siku ya mwisho, tena zero hours saa 9.00 mchana. Hivi kwa hiyo one hour iliyobaki kabla ya ofisi kufungwa, hata kama kweli returning officer ambaye ni mkurugenzi akijificha mtamulaumu mkurugenzi au huyo mgombea mjinga ambaye amerudisha fomu yake zero hours.

UKAWA toeni miongozi ya wagombea wenu wa Urais, Ubunge na udiwani taratibu za kurudisha fomu na zifanyike siku kadhaa kabla ya deadline if you're really serious kushika dola.
 
Pia bila kusahau alivyofanya mbowe kumuuzia Nimrod mkono jimbo la musoma vijijini na kupewa shilingi million40 then akakikopesha chama!

Lau Masha aliwahi kujishaua kuwa kapita bila kupingwa na anasubiri tu kuapishwa. From nowhere akatokea kamanda Wenje na kumkata mtama. Leo hii yuko wapi?

Ila jamaa alipambana maana mara sio raia mara sijui amefanya mkusanyiko wa watu bila kibali wakati kila akikatisha watu walikuwa wanamfuata, hakika kipind kile Masha angeweza kuvunja record ya Nyamagana kwa kurudi kwa mara ya pili lakini kwa kulazimsha goli la mkono akasababisha wananchi kumpigia kura kibao Wenje na upepo wa mabadiliko ukahamia Ilemela na kumtoa Diallo
 
Hivi mpaka dakika hii ni majimbo mangapi ambayo yana mgombea pekee? (natofautiana na wanaosema kuwa wameshapita bila kupingwa, maana lazima wapigiwe kura kwanza ndiyo au hapana).
 
Back
Top Bottom