Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
"Ni uamuzi wa kutunyima uhalali wa kumnyima Rais John Magufuli haki ya kuhoji mambo yatakayoibuliwa bungeni.Ni njama za kuwaziba midomo wapinzani kukosoa maovu yaliyofanyika katika utawala uliopita.
Wameondoa uhuru wa vyombo vya habari na wala hoja si gharama. Wanatoa kile bunge wanachotaka.Wanataka wasidhalilishwe kwa makosa yaliyopita. Huu ni mkakati wa kumwondolea Rais Magufuli demokrasia."Godbless Lema, mbunge wa Arusha Mjini.