Wabunge waliogoma uchaguzi urudiwe majimboni

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,493
13,554
Ninashauri wananchi wote wa kwenye majimbo wanayotoka waheshimiwa waliogoma kuingia Bungeni wakusanye sahihi za kutosha na waombe uchaguzi urudiwe, maana wananchi katika hayo majimbo wanakosa uwakilishi Bungeni kitu ambacho ni haki yao ya msingi!

Je sheria inasemaje katika hilo?
 
Naomba like za kutosha ili mods wakupige ban kwa kuleta hoja dhaifu,ya kijinga ili kujaza server za JF bila sababu.
Hoja dhaifu wakati Mh. Mbowe anakula posho za mikutano wakati akina Mh. Msigwa wameshaanza kuomba wasaidiwe maana hali zao kiuchumi ni tete.
 
Ninashauri wananchi wote wa kwenye majimbo wanayotoka waheshimiwa waliogoma kuingia Bungeni wakusanye sahihi za kutosha na waombe uchaguzi urudiwe, maana wananchi ktk hayo majimbo wanakosa uwakilishi Bungeni kitu ambacho ni haki yao ya msingi!

Je sheria inasemaje ktk hilo?
Katika watu mburula waliojiunga na JF wewe ni kinara wao!!

Kitakachoendelea kukusumbua ni kuwa hujui kuwa hujui na kama hutajibidisha kujifunza utaishia kumwaga radhi hadharani!!!
 
Ninashauri wananchi wote wa kwenye majimbo wanayotoka waheshimiwa waliogoma kuingia Bungeni wakusanye sahihi za kutosha na waombe uchaguzi urudiwe, maana wananchi ktk hayo majimbo wanakosa uwakilishi Bungeni kitu ambacho ni haki yao ya msingi!

Je sheria inasemaje ktk hilo?

Hivi kwa akili yako, unafikiri wananchi wanaunga mkono upande upi?

Unajua kuna wabunge wapo bungeni kikao kizima wako kimya mpaka ifikie saa ya kusema 'ndiooooo' na kuzomea? Hao nao wanawakilisha nini?

Kujitoa fahamu ni zao la uoga. Mnahanikiza kwamba wabunge fulani fulani wana tabia mbaya, shida ni nini wasioneshe bunge live tuone hizo tabia mbaya ili tusiwachague tena?
 
Mkuu tatizo siyo Bunge live, tatizo ni zile swaga za wapinzani kusema serikali inaingia gharama kubwa ktk kujiendesha. Sasa kuna shida gani iwapo bunge litarekodiwa? Je hizo gharama kubwa wanazozitaka wabunge zinamaanisha nini? Au wapinzani wameahidi ma-baby wao kuwa darling nitakuwa naonekana live bungeni, sasa wanaona hiyo kitu haiko watawapoteza ma-baby wao?? Yaani kulielewa hili suala unatakiwa uondoe uchama kwanza.
 
Pumba nyingine tena hizi. Je, Watanzania tukikusanya "sahihi za kutosha" kwamba haturidhishwi na utendaji wa Baba Jesca na hivyo uchaguzi wa Rais urudiwe. CCM watakuwa tayari kuliafiki hili!?

Ninashauri wananchi wote wa kwenye majimbo wanayotoka waheshimiwa waliogoma kuingia Bungeni wakusanye sahihi za kutosha na waombe uchaguzi urudiwe, maana wananchi ktk hayo majimbo wanakosa uwakilishi Bungeni kitu ambacho ni haki yao ya msingi!

Je sheria inasemaje ktk hilo?
 
Ninashauri wananchi wote wa kwenye majimbo wanayotoka waheshimiwa waliogoma kuingia Bungeni wakusanye sahihi za kutosha na waombe uchaguzi urudiwe, maana wananchi ktk hayo majimbo wanakosa uwakilishi Bungeni kitu ambacho ni haki yao ya msingi!

Je sheria inasemaje ktk hilo?

Kama uko tayari kugharamia uchaguzi urudie nitakuunga mkono
 
Ninashauri wananchi wote wa kwenye majimbo wanayotoka waheshimiwa waliogoma kuingia Bungeni wakusanye sahihi za kutosha na waombe uchaguzi urudiwe, maana wananchi katika hayo majimbo wanakosa uwakilishi Bungeni kitu ambacho ni haki yao ya msingi!

Je sheria inasemaje katika hilo?
UNATAKA KUWAUA LUMUMBA WENZAKO KWA PRESHA MAANA WAGOMBEA WA CCM KUPATA HATA KURA MOKO(1) ITAKUWA NI SAWA NA SHETANI KUUONA UFALME WA MBIGU, TENA KWA STYLE YA MWENDO KASI HII.......OOOOHH NI ILE ILE....UTASISOMA NAMBA.....
 
Mtu unaruhusiwa kuwa na mawazo yake hata kama ni la KIJINGA kama hili
 
Ninashauri wananchi wote wa kwenye majimbo wanayotoka waheshimiwa waliogoma kuingia Bungeni wakusanye sahihi za kutosha na waombe uchaguzi urudiwe, maana wananchi katika hayo majimbo wanakosa uwakilishi Bungeni kitu ambacho ni haki yao ya msingi!

Je sheria inasemaje katika hilo?
watakutana wapi kukusanya hizo sahihi na mikutano yote ya kisiasa mmeipiga marufuku?
sheria ipi ya nchi itatumika kufanya hayo??
 
Mudawote tumia akili MKUU Kwa katiba gani unarudia uchaguzi? Tumia akili japo za kuku
Akili gani mkuu zaidi ya kuamsha amsha ari ya wananchi ili uchaguzi urudie, ili tuone kama hao ukawa wataendelea na msimamo wao wa kugoma.
 
Ndani ya bunge watafukuzwa.
Nje ya bunge watapigwa mabomu.

Suluhisho:Turudi kwenye mfumo wa chama kimoja?
 
Ninashauri wananchi wote wa kwenye majimbo wanayotoka waheshimiwa waliogoma kuingia Bungeni wakusanye sahihi za kutosha na waombe uchaguzi urudiwe, maana wananchi katika hayo majimbo wanakosa uwakilishi Bungeni kitu ambacho ni haki yao ya msingi!

Je sheria inasemaje katika hilo?

Tutawachagua hao hao wa Upinzani maana tunauona umuhimu wao kuliko hawa wa NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO hata kama hoja si ya kulijenga Taifa .
 
Back
Top Bottom