Wabunge wajipanga kummaliza Maswi

Wabunge wajipanga kummaliza Maswi

Kule Tweeter nimeona waziri wa zamani Mh Kagasheki akimponda Mh Pinda kwa uzembe wa IPTL .......Kazi ipo ......
 
Kuna baadhi ya watanzania ni waajabu sana nchini kwetu wakiona mtu au kiongozi mwizi wanampinga na wakiletewa mwingine ambaye ni mzalendo wa kweli na si mla rushwa na hatoi rushwa watamchukia na kumpikia majungu na kumfanyia mizengwe.

Ndugu wadau hoja yangu ya leo ni kuhusu wizara ya nishati na madini ambayo haijawahi kutulia hata mora moja kila siku inavurugu mara mawaziri wezi, mara makatibu wakuu na hata wakurugenzi kama katika shirika la tanesco ambalo lipo chini ya wizara ya nishati na madini.

Kwa sasa wizara hii kusema ukweli imepata viongozi wenye misimamo na wasio yumbishwa na hawana woga wowote na hawaogopi chochote ukianzia na waziri mwenyewe profesa muhongo ambaye bila woga alimwondoa aliyekuwa md tanesco mhando aliyekuwa akiiba, akamuondoa mwanasheria aliyekuwa akichota fedha tanesco nimrod mkono ambaye kwa mwezi alikuwa anachukua bilioni kumi na akahakikisha mgawo wa umeme uliokuwa ukioendelea miaka yote nchini na kudai kwamba mgawo ukiendlea nawafukuza kazi menejiment ya tanesco na bodi yake.

Ukija kwa maswi aliwapangua walaji na wababaishaji katika wizara ya nishati na madini na kuhakikisha wizara inaendeshwa kwa maadili na hakuna ubabaishaji na wizi na uwazi unakuwepo lakini na hakuna wanasiasa kuingilia utendaji wa wizara na taasisi zake kama ilivyokuwa huko nyuma.

Maswi ni muhongo viongozi wenye misimamo na hawaogopo iwapo akitokea mshenzi na mtu ambaye ataka kuleta ubabaishaji kama ilivyotokea kwa akina kafulila na zitto ambao wanatumiwa kwa kupewa fedha kupambana na maswi na muhongo na wao kwa vyovyote hawawezi kukubali.

Kuna jambo ambalo limetokea ambalo baada ya ripoti kutoka na kuonekana kwamba maswi na muhongo hawamo baadhi ya wabunge wamenipanga kutafuta eneo jingine la kupambana na maswi mojawapo ni kutumia sauti ya maswi iliyorekodiwa na kutumwa kwenye simu za watu mbalmbali ili wabunge wadai kwamba alimtukana kafulila.

Na kwa sasa amepangwa mbunge machali atumie sauti hiyo ya maswi kuiweka bungeni na kudai kwamba katibu mkuu maswi ambaye ni kiongozi wa serikali anatukana wabunge. (hivi kwa nini wabunge wao wawe wanatukana na kudhalilisha watu ndani ya bunge lakini wao wakijibiwa wanadai wametukanwa na wana kinga lini na sisi watanzania wengine tutakuwa na kinga hiyo. Mbunge akikutukana akikudhalilisha wewe mtu mwingine huruhusiwi kujibu wakati wabunge wengine ni wajinga na hawajasoma wengine hata uelewa mkubwa hawana kabisa. Hatutaki tumechoka

Tunasubiri kumuona Machali akitekeleza kazi aliyetumwa na Deo Filikunjombe na Zitto kumdhalilisha Maswi.

Ama kweli akili nyingine hazina akili!! kama kitu kinakuzidi uwezo; hukielewi vizuri; kaa pembeni sikiliza wanaojua/wajanja waongee wewe ubaki kuchekelea tu kama zuzu au ulie! sio lazima useme chochote; hii sio sherehe ya kusema tunahitaji MC (msema chochote) wa kutuvuruga akili; this is a serious matter of critical national interest; stop trivialising it with your devilish hallucinations! Bs
 
Na kwa sasa amepangwa mbunge machali atumie sauti hiyo ya maswi kuiweka bungeni na kudai kwamba katibu mkuu maswi ambaye ni kiongozi wa serikali anatukana wabunge. (hivi kwa nini wabunge wao wawe wanatukana na kudhalilisha watu ndani ya bunge lakini wao wakijibiwa wanadai wametukanwa na wana kinga lini na sisi watanzania wengine tutakuwa na kinga hiyo. Mbunge akikutukana akikudhalilisha wewe mtu mwingine huruhusiwi kujibu wakati wabunge wengine ni wajinga na hawajasoma wengine hata uelewa mkubwa hawana kabisa. Hatutaki tumechoka

Tunasubiri kumuona Machali akitekeleza kazi aliyetumwa na Deo Filikunjombe na Zitto kumdhalilisha Maswi.

Haka kasheria ka kinga na madaraka ya Bunge nadhani kanatumiwa vibaya. Katika kuhakikisha ya kwamba watu wote wapo sawa mbele ya sheria ni vyema haka kasheria kakafutiliwa mbali. Haiingii akilini kwamba Mbunge anasimama Bungeni anatumia kipaza sauti na kumtukana mtu ama mtendaji wa serikali na anasikika kwenye vyombo vya habari lakini huyu anayetukanwa hapewi nafasi ya kujitetea. Hii ni kimyume na natural justice. Haka kasheria kawe na kikomo ili wabunge wasitumie bunge kuwafanyia wenzao defamation.

Hapa ndipo Maswi, kijana wa Kikurya,( sijui Mkira, Mtimbaru ama Mwirege) anapopandisha mori na kusema huyo anayetumia Bunge kama kichaka kuwatukana watu ajitokeze hadharani aongee nje ya Bunge ili naye aonyeshwe kwamba ukiwa nje ya Bunge mambo yanakuwa haya!!

Hii vita ni kubwa, ni vita ya kimaslahi zaidi. Watu wamenyang'anywa matonge vinywani, watu wamenyimwa pa kuchukua rushwa, watu wamenyimwa pa kuuza miti toka Mufindi wakisema imetoka Kenya, watu wamenyimwa kuuza ma Jenerator, watu wamenyimwa kuwauzia TANESCO mafuta ya generator kwa bei za kuruka, migawo ya umeme ya kutengeneza imeisha, watu wamenyimwa udalali wa vitalu vya gesi, watu wamenyimwa kunyakua maeneo ya kutafuta mafuta na kujihodhia; watu hawataki kuyaona haya wanaangalia tu maslahi yao.

Hakina nasema hata kama wataonekana wana makosa ya kiutendaji lakini wamewatendea watanzania mazuri ya kukumbukwa. Prof. Muhongo na Eliakim Chacha Maswi nitawakumbuka kama watendaji mahiri katika Wizara ya Nishati na Madini.

Kuna baadhi ya watanzania ni waajabu sana nchini kwetu wakiona mtu au kiongozi mwizi wanampinga na wakiletewa mwingine ambaye ni mzalendo wa kweli na si mla rushwa na hatoi rushwa watamchukia na kumpikia majungu na kumfanyia mizengwe.

Ndugu wadau hoja yangu ya leo ni kuhusu wizara ya nishati na madini ambayo haijawahi kutulia hata mora moja kila siku inavurugu mara mawaziri wezi, mara makatibu wakuu na hata wakurugenzi kama katika shirika la tanesco ambalo lipo chini ya wizara ya nishati na madini.

Kwa sasa wizara hii kusema ukweli imepata viongozi wenye misimamo na wasio yumbishwa na hawana woga wowote na hawaogopi chochote ukianzia na waziri mwenyewe profesa muhongo ambaye bila woga alimwondoa aliyekuwa md tanesco mhando aliyekuwa akiiba, akamuondoa mwanasheria aliyekuwa akichota fedha tanesco nimrod mkono ambaye kwa mwezi alikuwa anachukua bilioni kumi na akahakikisha mgawo wa umeme uliokuwa ukioendelea miaka yote nchini na kudai kwamba mgawo ukiendlea nawafukuza kazi menejiment ya tanesco na bodi yake.

Ukija kwa maswi aliwapangua walaji na wababaishaji katika wizara ya nishati na madini na kuhakikisha wizara inaendeshwa kwa maadili na hakuna ubabaishaji na wizi na uwazi unakuwepo lakini na hakuna wanasiasa kuingilia utendaji wa wizara na taasisi zake kama ilivyokuwa huko nyuma.

Maswi ni muhongo viongozi wenye misimamo na hawaogopo iwapo akitokea mshenzi na mtu ambaye ataka kuleta ubabaishaji kama ilivyotokea kwa akina kafulila na zitto ambao wanatumiwa kwa kupewa fedha kupambana na maswi na muhongo na wao kwa vyovyote hawawezi kukubali.

Kuna jambo ambalo limetokea ambalo baada ya ripoti kutoka na kuonekana kwamba maswi na muhongo hawamo baadhi ya wabunge wamenipanga kutafuta eneo jingine la kupambana na maswi mojawapo ni kutumia sauti ya maswi iliyorekodiwa na kutumwa kwenye simu za watu mbalmbali ili wabunge wadai kwamba alimtukana kafulila.

Na kwa sasa amepangwa mbunge machali atumie sauti hiyo ya maswi kuiweka bungeni na kudai kwamba katibu mkuu maswi ambaye ni kiongozi wa serikali anatukana wabunge. (hivi kwa nini wabunge wao wawe wanatukana na kudhalilisha watu ndani ya bunge lakini wao wakijibiwa wanadai wametukanwa na wana kinga lini na sisi watanzania wengine tutakuwa na kinga hiyo. Mbunge akikutukana akikudhalilisha wewe mtu mwingine huruhusiwi kujibu wakati wabunge wengine ni wajinga na hawajasoma wengine hata uelewa mkubwa hawana kabisa. Hatutaki tumechoka

Tunasubiri kumuona Machali akitekeleza kazi aliyetumwa na Deo Filikunjombe na Zitto kumdhalilisha Maswi.

Habari Vick hujambo?
 
Viburi na jazba zitawaponza Hawa watu..........
 
Nyoko nyie wote majizi,hakuna mtu mwadirifu na mchapakazi kama maswi,,,amewanyima kula kina zitto na kambi yake na sasa hv mnaimba wimbo wao,nani asiyejua nchi hii ilivyoteswa na uhaba wa umeme,leo hii mambo yametulia mnamwona maswi mwizi,nyoooo,,,,usenge wa zitto na usaliti wake na chuki zao kwa maswi ndo ziturudishe tulikotoka?achen hizo nyie.Nani asyemjua zitto alivyohongwa hela kuidhoofisha chadema,leo hii mnamkubali kwa lipi?hela wapige wengine msalaba wabebe wengine.Nani asyejua hela hizi zilipangwa wakati Maswi akiwa TAMISEMI?mbna hamwongelei chenge aliyepewa 1.6m us dollars?kwasabaabu ni mkakati mmekaa kimya,shame on u
 
PAC ilitaka ipewe 5bil iachane na IPTL jamaa wakachomoa sasa wameamua kukomaa nao. Nchi hii kila mtu mwizi tu
 
Mkuu tatizo ni Mkuu wao wa kazi ambaye hana sifa ya kiongozi hata moja matokeo yake anateua wazembe wenyewe wanawaita Mawaziri mizigo mwaka hata mwaka na kusababisha Serikali hii dhalimu kugubikwa na scandals zinazoingamiza nchi mwaka hata mwaka katika miaka yote tisa ya utawala wake. Katiba kama ingekuwa na kipengele kunachoruhusu Wabunge kumuondoa Rais kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye basi si ajabu huyu jamaa tungeshamsahau hata kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010.

Khaa umejitahidi sana kusafisha majambazi!! Of all the persons! Maswi?! Muhongo wa UONGO?!! over my dead body can I trust your faretells!! They belong to hell! Let them GOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!
 
Issue ni kuwa wanahusika na escrow a/c scandel au la
hizo zingine ni kelele za chura ambazo hazitomzuia ng'ombe kunywa maji
Kuna baadhi ya watanzania ni waajabu sana nchini kwetu wakiona mtu au kiongozi mwizi wanampinga na wakiletewa mwingine ambaye ni mzalendo wa kweli na si mla rushwa na hatoi rushwa watamchukia na kumpikia majungu na kumfanyia mizengwe.

Ndugu wadau hoja yangu ya leo ni kuhusu wizara ya nishati na madini ambayo haijawahi kutulia hata mora moja kila siku inavurugu mara mawaziri wezi, mara makatibu wakuu na hata wakurugenzi kama katika shirika la tanesco ambalo lipo chini ya wizara ya nishati na madini.

Kwa sasa wizara hii kusema ukweli imepata viongozi wenye misimamo na wasio yumbishwa na hawana woga wowote na hawaogopi chochote ukianzia na waziri mwenyewe profesa muhongo ambaye bila woga alimwondoa aliyekuwa md tanesco mhando aliyekuwa akiiba, akamuondoa mwanasheria aliyekuwa akichota fedha tanesco nimrod mkono ambaye kwa mwezi alikuwa anachukua bilioni kumi na akahakikisha mgawo wa umeme uliokuwa ukioendelea miaka yote nchini na kudai kwamba mgawo ukiendlea nawafukuza kazi menejiment ya tanesco na bodi yake.

Ukija kwa maswi aliwapangua walaji na wababaishaji katika wizara ya nishati na madini na kuhakikisha wizara inaendeshwa kwa maadili na hakuna ubabaishaji na wizi na uwazi unakuwepo lakini na hakuna wanasiasa kuingilia utendaji wa wizara na taasisi zake kama ilivyokuwa huko nyuma.

Maswi ni muhongo viongozi wenye misimamo na hawaogopo iwapo akitokea mshenzi na mtu ambaye ataka kuleta ubabaishaji kama ilivyotokea kwa akina kafulila na zitto ambao wanatumiwa kwa kupewa fedha kupambana na maswi na muhongo na wao kwa vyovyote hawawezi kukubali.

Kuna jambo ambalo limetokea ambalo baada ya ripoti kutoka na kuonekana kwamba maswi na muhongo hawamo baadhi ya wabunge wamenipanga kutafuta eneo jingine la kupambana na maswi mojawapo ni kutumia sauti ya maswi iliyorekodiwa na kutumwa kwenye simu za watu mbalmbali ili wabunge wadai kwamba alimtukana kafulila.

Na kwa sasa amepangwa mbunge machali atumie sauti hiyo ya maswi kuiweka bungeni na kudai kwamba katibu mkuu maswi ambaye ni kiongozi wa serikali anatukana wabunge. (hivi kwa nini wabunge wao wawe wanatukana na kudhalilisha watu ndani ya bunge lakini wao wakijibiwa wanadai wametukanwa na wana kinga lini na sisi watanzania wengine tutakuwa na kinga hiyo. Mbunge akikutukana akikudhalilisha wewe mtu mwingine huruhusiwi kujibu wakati wabunge wengine ni wajinga na hawajasoma wengine hata uelewa mkubwa hawana kabisa. Hatutaki tumechoka

Tunasubiri kumuona Machali akitekeleza kazi aliyetumwa na Deo Filikunjombe na Zitto kumdhalilisha Maswi.
 
Mkuu tatizo ni Mkuu wao wa kazi ambaye hana sifa ya kiongozi hata moja matokeo yake anateua wazembe wenyewe wanawaita Mawaziri mizigo mwaka hata mwaka na kusababisha Serikali hii dhalimu kugubikwa na scandals zinazoingamiza nchi mwaka hata mwaka katika miaka yote tisa ya utawala wake. Katiba kama ingekuwa na kipengele kunachoruhusu Wabunge kumuondoa Rais kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye basi si ajabu huyu jamaa tungeshamsahau hata kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010.

Duh...Kagasheki ameendelea kuua huko Twita .........nafikiri kauli zake zinafaa mjadala hapa.......
 
Nyoko nyie wote majizi,hakuna mtu mwadirifu na mchapakazi kama maswi,,,amewanyima kula kina zitto na kambi yake na sasa hv mnaimba wimbo wao,nani asiyejua nchi hii ilivyoteswa na uhaba wa umeme,leo hii mambo yametulia mnamwona maswi mwizi,nyoooo,,,,usenge wa zitto na usaliti wake na chuki zao kwa maswi ndo ziturudishe tulikotoka?achen hizo nyie.Nani asyemjua zitto alivyohongwa hela kuidhoofisha chadema,leo hii mnamkubali kwa lipi?hela wapige wengine msalaba wabebe wengine.Nani asyejua hela hizi zilipangwa wakati Maswi akiwa TAMISEMI?mbna hamwongelei chenge aliyepewa 1.6m us dollars?kwasabaabu ni mkakati mmekaa kimya,shame on u

Sasa umeongea nini zaidi ya matusi,ungewatukana waliofanya hiyo investigation.Pole sana kaka kuwa MZALENDO haijalishi hao unaowatetea wanakulipa ngapi au kama ni jamaa au familia yako,ila kimoja tu toa hoja na sikutukana utaleweka zaidi
 
Yio cho wakhaifa,mpese wafewa mpenento trii-ompee konyoi naa?
Nyoko nyie wote majizi,hakuna mtu mwadirifu na mchapakazi kama maswi,,,amewanyima kula kina zitto na kambi yake na sasa hv mnaimba wimbo wao,nani asiyejua nchi hii ilivyoteswa na uhaba wa umeme,leo hii mambo yametulia mnamwona maswi mwizi,nyoooo,,,,usenge wa zitto na usaliti wake na chuki zao kwa maswi ndo ziturudishe tulikotoka?achen hizo nyie.Nani asyemjua zitto alivyohongwa hela kuidhoofisha chadema,leo hii mnamkubali kwa lipi?hela wapige wengine msalaba wabebe wengine.Nani asyejua hela hizi zilipangwa wakati Maswi akiwa TAMISEMI?mbna hamwongelei chenge aliyepewa 1.6m us dollars?kwasabaabu ni mkakati mmekaa kimya,shame on u
 
PAC ilitaka ipewe 5bil iachane na IPTL jamaa wakachomoa sasa wameamua kukomaa nao. Nchi hii kila mtu mwizi tu

Duh,wangeikamata na IPTL wangeivalia njuga vile vile ndiyo ingekuwa fundisho kwa hawa wpiga madeal.
 
Back
Top Bottom