Wabunge waipongeza kampuni ya Mengi (Bonite Bottlers)

Wabunge waipongeza kampuni ya Mengi (Bonite Bottlers)

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,775
Reaction score
37,960
Wajumbe wa kamati ya maendeeleo ya jamii wamempongeza mwenyekiti wa kampuni ya bonite ya mjini moshi kwa kujali mazingira ya wanancnhi na wafanyakazi wake.....akiongea na wafanyakazi mjumbe wa kamati hiyo mbunge anaewakilisha walemavu albino alifurahi sana kwa jinsi mh mengi alivyojiandaa kuwasaidia hata kwa wale wenye matatizo ya albino kwa kuwatafurtia sehemu maalum ya kazi ambayo haitakuwa ikiwasumbua na jua........wamempongeza mwenyekiti wa kwanza bottlers na kuwapongeza wafanyakzi wote wanaoshiriki kikamilifu katika kutunza mazingira ya moshi....
Mmoja wa wajumbe namnukuu sijaona hata nzi moja walahi...hakuna hata nzie alienipitia kwenye mkono...kwa hilo nawapongeza sana
 
kwa kweli bonite bottlers ni kiwanda safi mno tanzania kwa mazingira ya kazi
 
Cool, give merits where is due! nice job Mengi
 
kwa kweli bonite bottlers ni kiwanda safi mno tanzania kwa mazingira ya kazi
Unaweza kuangalia hii video:

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=tQcl8f3vil8]YouTube - Ziara ya Kamati ya bunge Bonite[/ame]
 
Back
Top Bottom