Kwa hili tuwaunge mkono mkuu,labda ndiyo mwanzo wa wao kujiunga na upinzani,maana sasa kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani CCM!!Huo ni unafiki huwezi kuwa ccm then unapinga ufisadi, kama kweli wana uchu na chi hii wajiuzulu na kujiunga na upinza, ni katika ccm kuifanya hoja kutoilipa dowans ni ya kwao, ile hali ccm ndio wamiliki na wanaolazimisha dowans kulipwa.
Haiingii akili kusikia leo wanakwenda kufungua kesi hizi ni propaganda tu.
Ni jambo la kushangaza eti ccm wanasema hoja ya katiba mpya ni yao kumbe baada ya kuzidiwa na wananchi, kwa shingo upande wanakubali katiba kubadilishwa.
Hawa jamaa ccm ni wanafiki wakubwa, hata hii ishue ya umeme ni planned na walitaka kurudisha hela yao waliyotumia kwenye kampeni.
Mimi siwaamini hao wanaccm wanaotaka dowans islipw, ni danganya toto tu, hii hela inaenda kwa ccm na wamafia wake, msituchanganye tushawajua siku nyingi,
hakuna kulala mpaka kieleweke!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Peoples power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
- hoja ya kafulila (umeme)imetekwa na january makamba,hoja ya john mnyika (katiba) imetekwa na hao hao ccmizi.
Nchi yetu kweli shamba la bibi!!! wewe utumie umeme wa watu ati usilipe kwa sababu ya katiba? mnatakiwa kushitaki viongozi wenu... sio kutolipa DOWANS ambao wamefanya kazi yao kama walivyotakiwa.
Huo ni unafiki huwezi kuwa ccm then unapinga ufisadi, kama kweli wana uchu na chi hii wajiuzulu na kujiunga na upinza, ni katika ccm kuifanya hoja kutoilipa dowans ni ya kwao, ile hali ccm ndio wamiliki na wanaolazimisha dowans kulipwa.
Haiingii akili kusikia leo wanakwenda kufungua kesi hizi ni propaganda tu.
Ni jambo la kushangaza eti ccm wanasema hoja ya katiba mpya ni yao kumbe baada ya kuzidiwa na wananchi, kwa shingo upande wanakubali katiba kubadilishwa.
Hawa jamaa ccm ni wanafiki wakubwa, hata hii ishue ya umeme ni planned na walitaka kurudisha hela yao waliyotumia kwenye kampeni.
Mimi siwaamini hao wanaccm wanaotaka dowans islipw, ni danganya toto tu, hii hela inaenda kwa ccm na wamafia wake, msituchanganye tushawajua siku nyingi,
hakuna kulala mpaka kieleweke!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Peoples power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Sasa ndugu nani kakwambia RICHMOND ni DOWANS... hapa ndipo mnapokosea....Sisi hatutaki ilipwe kwa kuwa wao ndio walikuwa wa kwanza kuvunja au kukiuka vifungu halali vya mkataba mama kati ya TANESCO na RICHIMUND,Na uhalali wa wetu wa kuvunja mkaba na kampuni feki ulianzia hapo!hivyo kulipa fidia ya kuvunja mkataba si halali!!
Sasa ndugu nani kakwambia RICHMOND ni DOWANS... hapa ndipo mnapokosea....
wakati wa kubadilisha mkataba kama TANESCO iliridhia... hape ndipo tuliloba steps... kwa sasa DOWANS must be paid... period mengine ni mambo ya watu kujitoa waonekane tu.... everything is blablablaaa....
Mkuu mimi siiamini CCM kama chama cha siasa, lakini naamini kuna watu wachache makini, ambao wanafunikwa na wababaishaji wengi.How in Tanzania one be in CCM and have gutts to attach "ufisadi". Hii ni gemu kama ilivyokuwa gemu ya kumleta mtu na Kujifanya ni mmliki wa Dowans.
CCM iliishapoteza siku nyingi public trust hasa yanapokuja maeneo ya ufisadi maana watanzania wote wanajua kuwa nchi yao inasumbuliwa na kirusi kibaya sana cha kudumaza maendeleo yao kinachojulikana kama CCM.
Hawa jamaa wameitwa na kupewa go ahead ya kufungua hii ze komedi ya kunajisi mahakama na mfumo mzima wa sheria. Dowans ya bwana jumbe, mahakama ya bwana jumbe, wabunge wa bwanajumbe, na hukumu ni lazima iwe ya bwana jumbe, hakuna jipya hapo. Hii mikakati wanayoifanya kuelekea 2015 haitazaa matunda.
The only way to convince the public ni kumkatama RA, EL na huyo anayejiita mmiliki na pia kuhakikisha kuwa kabla ya 2015 85% ya wananchi wana ajira, umeme wa uhakika, maji safi. Otherwise ni ule ule mchezo wa ada kadabla!.
Kwa hili tuwaunge mkono mkuu,labda ndiyo mwanzo wa wao kujiunga na upinzani,maana sasa kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani CCM!!
Nchi yetu kweli shamba la bibi!!! wewe utumie umeme wa watu ati usilipe kwa sababu ya katiba? mnatakiwa kushitaki viongozi wenu... sio kutolipa DOWANS ambao wamefanya kazi yao kama walivyotakiwa.