Wadau hivi hawa wabunge wetu wa upinzani kutoka nje ya bunge kila anapoingia Naibu spika hivi huku ni kumkomoa Naibu spika au kutukomoa sisi tuliowachagua, maana hawawakilishi hoja zetu tena wanawaachia CCM tu wawasilishe hoja zao mwisho wa siku wakirudi kutuomba kura hatuwapi kwasababu wanajiwakilisha wao wenyewe na mawazo yao sio sisi tuliowachagua tena
Au nyie wadau mna mawazo gani hapo.........???
Au nyie wadau mna mawazo gani hapo.........???