Wabunge wa UKAWA mkoa wa Kigoma

Wabunge wa UKAWA mkoa wa Kigoma

Kwa kauli ya ukakasi aliyotoa zitto kwamba mbunge yeyote wa kigoma asipoingia act hawezi rudi bungeni ni ya kuchekesha sana! Wana kigoma kama wanajitambua kauli hii inaweza pelekea hata zitto mwenyewe kuukosa ubunge huko kigoma. Ngoja tusubir tuone.
 
Ukitaka kumuua nyoka mpige kichwani, Zitto anapoteza jimbo hadi la kigoma kaskazini chezea ukawa wewe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom