Jasusi Mbobezi
Senior Member
- May 17, 2020
- 195
- 851
Unataka ukawaHamza?Wabunge wengi huwa wanachangia kanakwamba hawana connection na mitaa ninayoishi na kutembelea mimi Jasusi Mbobezi. Mitaa wanayoishi wabunge wetu wengi Rais anakubalika sana na wananchi.
Mitaa wanayoishi wao wananchi wanaikubali sana serikali na kuunga mkono kila kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6.
Mitaa wanayoishi wananchi wana raha sana yaani, kika kitu kipo sawa hakuna manung'uniko kabisa.
Naombeni kujua hiyo mitaa namimi nije huko jamani maana huku kwetu tumeshachoshwa na hii awamu tunatamani 2025 tupate mtu.
Aisee, naomba jina la mtaa nihamie mkuu.Mitaa wanayoishi minara yao haikati tozo ya kizalendo Kwenye miamala.
Mitaa wanayoishi sheli zote zinauza mafuta bukubuku
Mitaa wanayoishi nyumba zao zote hazikatwi too ya luku
Mkuu huko mbali sana, mi nataka nihamie tu wanapoishi namimi nianze kula raha.Unataka ukawaHamza?
Kwa niaba ya wanajamiiforum wote nakupa baraka zote katika mission yako.
Mitaa wanayomaanisha ni Akaunti zao za benki.
Akitaka wamgeuke avuruge akaunti zao uone mtiti wake...kila atakayesimama atasema Wananchi wanalalamika.
Hahahahaaaawangekuwa wanaishi mtaa mmoja hao wabunge mboga kuna jamaa wangerusha bomu wafe wote...kwa utumbo wanaoufanya. Wanajinasibu wapo vizuri, kila wanalofanya wanakosea wanarudi kujaribu kurekebisha. Yaani hadi mambo ya kwenye Biblia wanajinasibu wanayajua sana mwisho wanakosea nayo wanarudi kusahihisha..hiyo mizuka na midemko waliyonayo huko bungeni ni kiboko hata vijana wa form two hawako hivo siku hizi. Hadi naanza kuwaza au tayari chanjo ya covid imesambaa mwilini vizuri na imeanza taratibu kufanya kazi?...matokeo yake yameanza kuonekana mapema hivi basi ni hatarii
Mama nae si mtanzania mwenzetu. Unadhani mama hajui Bei ya sukari?Wanaogopa kumwambia ukweli mama wataonekana sukumagang.
Si ndiye alisema watz wameikubali tozo,Nani alimwambia hayo?Mama nae si mtanzania mwenzetu. Unadhani mama hajui Bei ya sukari?
Unadhani mama hajui Bei ya petroli au unadhani hajui maumivu ya tozo?
Njoo huku mailimbili uheheni,yaani palivyo PAZURI Ni Kama tupo inchi nyingine mkuu!Aisee, naomba jina la mtaa nihamie mkuu.