Wabunge wa Marekani wamuombea Magufuli

Wabunge wa Marekani wamuombea Magufuli

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
DSCN0583.jpg
 
Hivi mtu kama Trump anamjua Magufuli kweli japo hayupo kwenye serikali ya Marekani?
Magazeti ya Tanzania waandishi wao kubebesha headlines ili magazeti yanunuliwe tu hakuna la zaidi
 
Wamuombea nini? Kwamba asamehewe na kupewa hela za MCC? Au wanamuombea ili ajitambue kuhusu Zanzibar kujiepusha na kibano? Habari haijakamilika maana kuombewa kuko kwa aina nyingi hata pepo hutoka kwa kuombewa
 
Hawa ndio aina ya wabunge Kutoka marekani ambao Tanzania inawataka sio wale wanaokuja kuja kushinikiza mambo ya USHOGA NA USAGAJI.

Tunashukuru kwa maombi waliyoomba na watakayoendelea kumwombea Magufuli na kuiombea Tanzania.Na waendelee tu kuja kuomba na watuombee pia wakiwa Marekani.
 
Haya sasa hii mpyaa marekani Leo inamuombe magu duh sio bure kuna kitu apo
 
Hawa ndio aina ya wabunge Kutoka marekani ambao Tanzania inawataka sio wale wanaokuja kuja kushinikiza mambo ya USHOGA NA USAGAJI.

Tunashukuru kwa maombi waliyoomba na watakayoendelea kumwombea Magufuli na kuiombea Tanzania.Na waendelee tu kuja kuomba na watuombee pia wakiwa Marekani.
Yeh unafahamu Wamemuombea kitu gani?
 
Tanzania vitu kila siku marekani waache kufanya mambo ya msingi wakae kumuombea rais tena wa Tanzania kwel Trump africa inabidi itawaliwe tena
 
Back
Top Bottom