WEWE UMETUMWA, MIMI NI MKAZI WA KIGAMBONI DAR, MBUNGE WETU KWA TIKETI YA CCM SIJAWAHI ATA KUMUONA.
YEYE NA SERIKALI YAKE NI HERI WANGETUACHA NA DHIKI ZETU ZAIDI WAMEKUJA KUTUTUKANA KWA KUTUPANDISHIA NAULI YA PANTON NA KUTUAMBIA ATI TUSOWEZA KULIPA TUPIGE MBIZI.
WEWE NI NG'OMBE FOOLISHI SANA WAKATI SIE WA KIGAMBONI TUNALIA MUNGU ATUJALIE TUPATE MBUNGE KUPITIA CHADEMA KWA WIVU TULIONA NAO KWA MAJIMBO YALOCHINI YA CHADEMa WEWE WASEMA WATAULIZWA WAMAFANYA NINI?
HUONI WATU WA KAWAIDA PIA VIONGOZI WANAVYOTIMKIA CHADEMA KILA KUKICHA, WADHANI WEWE NG'MBE NDO UNA AKILI SANA KUWASHINDA HAO, IN SHORT UMENIUDHI KWANI WEWE NI MPAMBE WA UFISADI UNAOENDELEA KATIKA TAIFA ILI, WE ARE CRYING 4 M4C WEWE IYO MOVE YAKUUMA?? FISADI MKUU WEWE
Tuliopigia kura Chadema na tutaendelea kuipigia kura Chadema wala hatuhitaji mkalima kujuwa Wabunge wa Chadema wanafanya nini, wanachokifanya tunakiona na tunawaelewa.
Swali linawasubili CCM kuhusu maisha bora kwa kila Mtanzania, barabara za angani, meli kubwa kuliko Mv Bukoba, reli mpya Dar mpaka Mwanza Machinga complex 3 kila wilaya Dar na ahadi nyingi za kusadikika za JK na CCM yake. nawaonea huruma kweli CCM.
Mpaka sasa katika ahadi 73 za JK ni ahadi moja tu iiyotimizwa tena ni nusu nayo si nyingine bali ni kuleta zile Ambulance za bajaji na kwa habari za uhakika kuna muhindi ndiyo amezitoa zile bajaj na siyo pesa ya Serikali.
Nimekuwa nikifuatilia harakati za wabunge wa CHADEMA kwa muda sasa.
Walio wengi wamejikita kufanya kazi za 'kichama' zaidi kuliko kutimiza wajibu wao kama wawakilishi wa wananchi.
Hata michango yao bungeni hulenga zaidi kutafuta umaarufu wa kisiasa wa chama badala ya kutatua kero za nanchi wao majimboni kwao.
Wengi wao wakiulizwa hapa, hutoa majibu rahisi kuwa hawana dola hivyo hawewezi kutekeleza ahadi zozote za maendeleo majimboni kwa kuwa hawakusanyi kodi!
Swali ni je:
- Mtawambia hivyo wapiga kura wenu 2015? Kuwa hatukufanya lolote kwa kuwa hatukuwa na dola?
- Au mtaonesha kadi za CCM zilizorudishwa kwenu kama mafanikio yako ukiwa mbunge?
Wabunge wa CDM, Tafakari na muchukue hatua!
kabla hujawauliza hilo swali umezunguka majimboni mwao ukazungumza na wananchi wao ukapata maoni juu ya utendaji wa wabunge wao?
Wengine tupo majimbo ya ccm toka mwaka 1995 hadi leo hatujui maji ya dawasco yana rangi gani, umeme ni majaliwa tanesco wanakzta wanavyopenda, barabara mwaka huu ndo imetandikwa lami tena ni dsm......
Tuliopigia kura Chadema na tutaendelea kuipigia kura Chadema wala hatuhitaji mkalima kujuwa Wabunge wa Chadema wanafanya nini, wanachokifanya tunakiona na tunawaelewa.
Mpaka sasa katika ahadi 73 za JK ni ahadi moja tu iiyotimizwa tena ni nusu nayo si nyingine bali ni kuleta zile Ambulance za bajaji na kwa habari za uhakika kuna muhindi ndiyo amezitoa zile bajaj na siyo pesa ya Serikali.
Nimekuwa nikifuatilia harakati za wabunge wa CHADEMA kwa muda sasa.
Walio wengi wamejikita kufanya kazi za 'kichama' zaidi kuliko kutimiza wajibu wao kama wawakilishi wa wananchi.
Hata michango yao bungeni hulenga zaidi kutafuta umaarufu wa kisiasa wa chama badala ya kutatua kero za nanchi wao majimboni kwao.
Wengi wao wakiulizwa hapa, hutoa majibu rahisi kuwa hawana dola hivyo hawewezi kutekeleza ahadi zozote za maendeleo majimboni kwa kuwa hawakusanyi kodi!
Swali ni je:
- Mtawambia hivyo wapiga kura wenu 2015? Kuwa hatukufanya lolote kwa kuwa hatukuwa na dola?
- Au mtaonesha kadi za CCM zilizorudishwa kwenu kama mafanikio yako ukiwa mbunge?
Wabunge wa CDM, Tafakari na muchukue hatua!
Maswali mengine hayana tija. Nenda kawulize wananchi wao majimboni
Ndiyo, tutawaambia jinsi tungekuwa na dola wizi, ubadhirifu, ulaghai, ufisadi, rushwa...vyote vingekuwa historia na badala yake utawala wa usawa, haki, uwajibikaji...ndivyo vingeshika kasi.Blah, blah, blah blah.....Swali ni je:
Mtawambia hivyo wapiga kura wenu 2015? Kuwa hatukufanya lolote kwa kuwa hatukuwa na dola?
Ndiyo tutaonesha jinsi CCM, chama cha mafisadi, kilivyokosa mvuto na kukimbiwa na wananchi kila kona ya Tanzania. Watu wanataka maendeleo na maisha bora na siyo blah blah za kisanii.Au mtaonesha kadi za CCM zilizorudishwa kwenu kama mafanikio yako ukiwa bunge?
Tafakari zimechukuliwa zamani na hatua zinaendelea kuwaelimisha wananchi kupitia operation "vua gamba vaa gwanda" inayoendelezwa kama kazi na wabunge pamoja na viongozi wa ngazi mbali mbali ndani ya Chadema, upo FREEWorld ?Wabunge wa CDM, Tafakari na muchukue hatua!
duuu kweli we ndo unafikiri kichina.....ulidhani kukaa jimboni ndo maendeleo??kama ingekua hivyo tz situngesha kufa?coz ata sasa presidee yuko abroad.....ebu changamsha bongo basi acha kulaza akili bana ..karibu singida kwa lisu ujioneeee vitunimekuwa nikifuatilia harakati za wabunge wa chadema kwa muda sasa.
Walio wengi wamejikita kufanya kazi za 'kichama' zaidi kuliko kutimiza wajibu wao kama wawakilishi wa wananchi.
Hata michango yao bungeni hulenga zaidi kutafuta umaarufu wa kisiasa wa chama badala ya kutatua kero za nanchi wao majimboni kwao.
Wengi wao wakiulizwa hapa, hutoa majibu rahisi kuwa hawana dola hivyo hawewezi kutekeleza ahadi zozote za maendeleo majimboni kwa kuwa hawakusanyi kodi!
Swali ni je:
- mtawambia hivyo wapiga kura wenu 2015? Kuwa hatukufanya lolote kwa kuwa hatukuwa na dola?unawafatilia wapi??mbona unaonekana unaweza kufikiri???wewe unauwezo wa kuitembelea tz nzima waliko wabunge wa cdm???basi karibu singida kwa lisu uje ujionee aloyafanya kwa mwaka 1 tu ukalinganishe na wanayofanya wabunge wa ccm ambao hawatoki jimboni kama unavyo dai.....think big men................................................................................................................................................................................................................
- .......................................................................................................................................................................................................................................
- au mtaonesha kadi za ccm zilizorudishwa kwenu kama mafanikio yako ukiwa mbunge?
wabunge wa cdm, tafakari na muchukue hatua!