Wabunge wa CHADEMA mtawambia nini wapiga kura wenu 2015?

WEWE UMETUMWA, MIMI NI MKAZI WA KIGAMBONI DAR, MBUNGE WETU KWA TIKETI YA CCM SIJAWAHI ATA KUMUONA.
YEYE NA SERIKALI YAKE NI HERI WANGETUACHA NA DHIKI ZETU ZAIDI WAMEKUJA KUTUTUKANA KWA KUTUPANDISHIA NAULI YA PANTON NA KUTUAMBIA ATI TUSOWEZA KULIPA TUPIGE MBIZI.
WEWE NI NG'OMBE FOOLISHI SANA WAKATI SIE WA KIGAMBONI TUNALIA MUNGU ATUJALIE TUPATE MBUNGE KUPITIA CHADEMA KWA WIVU TULIONA NAO KWA MAJIMBO YALOCHINI YA CHADEMa WEWE WASEMA WATAULIZWA WAMAFANYA NINI?
HUONI WATU WA KAWAIDA PIA VIONGOZI WANAVYOTIMKIA CHADEMA KILA KUKICHA, WADHANI WEWE NG'MBE NDO UNA AKILI SANA KUWASHINDA HAO, IN SHORT UMENIUDHI KWANI WEWE NI MPAMBE WA UFISADI UNAOENDELEA KATIKA TAIFA ILI, WE ARE CRYING 4 M4C WEWE IYO MOVE YAKUUMA?? FISADI MKUU WEWE

Mkuu msamehe bure huyu mtoa mada,inawezekana kabisa ananufaika na chochote kuchafua hali ya hewa humu(jamiiforums)huku akili zake piwa kazifungia ndani ya droo teh! teh! teh!
 
Tuliopigia kura Chadema na tutaendelea kuipigia kura Chadema wala hatuhitaji mkalima kujuwa Wabunge wa Chadema wanafanya nini, wanachokifanya tunakiona na tunawaelewa.

Swali linawasubili CCM kuhusu maisha bora kwa kila Mtanzania, barabara za angani, meli kubwa kuliko Mv Bukoba, reli mpya Dar mpaka Mwanza Machinga complex 3 kila wilaya Dar na ahadi nyingi za kusadikika za JK na CCM yake. nawaonea huruma kweli CCM.

Mpaka sasa katika ahadi 73 za JK ni ahadi moja tu iiyotimizwa tena ni nusu nayo si nyingine bali ni kuleta zile Ambulance za bajaji na kwa habari za uhakika kuna muhindi ndiyo amezitoa zile bajaj na siyo pesa ya Serikali.

Mkuu zile ambulance zilizogawanywa ni chache sana,ZINGINE SERIKALI BADO WANAZO NA WANATAKA KUJA KUZIGAWA 2015 KTK KAMPENI ZA UCHAGUZI HASA MAENEO YA VIJIJINI,serikali inafanya kazi za kisanii(utapeli)
 
Kuna tatizo kubwa la watu kujua nini wajibu wa mbunge
Napia kuna tatizo la wabunge kuwa haidi wapigakura mambo ambayo sio wajibu wao direct

Hata hivyo hauhitaji kutumia akili nyingi kuona na kujua kazi kubwa walioifanya wabunge wa upinzani bungeni
 
Kama ulilipwa kwa kazi hii, kawaeleze kazi imekuwa ngumu, somo halieleweki. Na uwaeleze bayana kuwa laiti wangenijua hata kichapo ningepata!
 
Nimekuwa nikifuatilia harakati za wabunge wa CHADEMA kwa muda sasa.
Walio wengi wamejikita kufanya kazi za 'kichama' zaidi kuliko kutimiza wajibu wao kama wawakilishi wa wananchi.
Hata michango yao bungeni hulenga zaidi kutafuta umaarufu wa kisiasa wa chama badala ya kutatua kero za nanchi wao majimboni kwao.
Wengi wao wakiulizwa hapa, hutoa majibu rahisi kuwa hawana dola hivyo hawewezi kutekeleza ahadi zozote za maendeleo majimboni kwa kuwa hawakusanyi kodi!
Swali ni je:
  1. Mtawambia hivyo wapiga kura wenu 2015? Kuwa hatukufanya lolote kwa kuwa hatukuwa na dola?
  2. Au mtaonesha kadi za CCM zilizorudishwa kwenu kama mafanikio yako ukiwa mbunge?

Wabunge wa CDM, Tafakari na muchukue hatua!

wale wanaamini mitume watakutukana hapa, ila nakuunga mkono ndugu yangu, hawa CDM wamekua wakikosoa tu, bila ya kusahihisha kwa sababu kazi ya upinzani ni rahisi wamelewa na siasa za kitaifa na ukosoaji wa CCM na umaarufu wanaoupata kitaifa huku majimbo yao yakibaki kama yale ya wanaowakosoa.
 
Wewe umejuaje yeye ni ccm. Unaposema "wabunge wako wa CCM". Mbona kila mwenye mawazo tofauti mnafikiri ni CCM. Jibu huja usilite maneno ya vijiweni
 
Jamani ndugu mwanzisha thread hebu niambie majukumu ya mbunge kwanza ndipo utafakari ulicho kiandika

Nijuavyo mimi ni kwamba

1. mbunge ni mwakilishi wa wananchi (tafuta maana ya uwakilishi) kwa kuwasemea mahitaji yao na vipaumbele vyao ktk maeneo yao husika

2. wanatunga sheria (bungeni) kupitia miswada mbalimbali inayoletwa na serikali

3. kuisimamia serikali ktk kutekeleza bajeti ya mwaka husika. Unaweza ongeza zaidi ya hapo.

Ninachokiona kichwani mwako ni kwamba mafisadi walisha chakachua kichwa chako kwa kukuaminisha kuwa mbunge anatakiwa kutumia rasilimali zake binafsi katika kufanya shughuli za maendeleo ktk jimbo lake.Kama anazo na haitaathiri maisha yake binafsi hapo sawa anaweza kufanya hivyo. Lakini hoja yangu ni kwamba its not an order of the day for parliamentarians to dish out whtever is in their pockets. Kama ndivyo, mbunge mwadilifu atafanya mangapi kwa resources zipi? Hao wafanyabiashara mlionao CCM wanatumia fedha zao lkn wanazirejesha indirectly kupitia deals mbalimbali serikalini.

Hapa sijabagua whether ni CCM, CDM, NCCR, UDP, etc. Tusijaribu kuhamisha wananchi kuwaaminisha kuwa mbunge ndiye badala ya Serikali. Pia, kumbuka maneno ya Mawaziri Igunga na Arumeru waliosema kuchagua upinzani ni kuyakataa maendeleo. Haya ndo ya kuwaambia wananchi vile serikali yao ilivyo ya kibaguzi kama haitapeleka fedha maeneo yenye wabunge wa upinzani. Hivyo wananchi waiadhibu kwa dhambi hiyo ni si mbunge. Nashindwa kuelewa mleta mada kama unaufahamu wa utendaji wa serikali hapa nchini.
 
kabla hujawauliza hilo swali umezunguka majimboni mwao ukazungumza na wananchi wao ukapata maoni juu ya utendaji wa wabunge wao?

Wengine tupo majimbo ya ccm toka mwaka 1995 hadi leo hatujui maji ya dawasco yana rangi gani, umeme ni majaliwa tanesco wanakzta wanavyopenda, barabara mwaka huu ndo imetandikwa lami tena ni dsm......

mwanzisha thread anaonekana kakurupuka mkuu ama nape kazini maana majimbo mengi yaliyo na maendeleo ni ya cdm cjui kama hajaliona hilo na watu wengi wako teyari kupigia jiwe kura kuliko mdudu ccm fikiria je jiwe litaweza kumpigania mtu haki? Yote hayo yanatokana na kuchoka kuongozwa na utawala mbovu wa magamba
 
Tuliopigia kura Chadema na tutaendelea kuipigia kura Chadema wala hatuhitaji mkalima kujuwa Wabunge wa Chadema wanafanya nini, wanachokifanya tunakiona na tunawaelewa.

Mpaka sasa katika ahadi 73 za JK ni ahadi moja tu iiyotimizwa tena ni nusu nayo si nyingine bali ni kuleta zile Ambulance za bajaji na kwa habari za uhakika kuna muhindi ndiyo amezitoa zile bajaj na siyo pesa ya Serikali.

Ndugu yangu Matola!!!! Ninazisubiri hzi Ambulance za Bajaj, kwani ilipotolewa hii ahadi nilibaki mdomo wazi. "Eti kumsafirisha mama mjamzito anayeenda kujifungua kwa kutumia Pikipiki!!!!

Baaaahh!!! huyu ntoto wa Kikwere anatutania kweli!!! Eti yeye kushafili kwa gari na ndege sisi kutupatia Bajaj!! hivi SALMA KIKWETE siku akienda Hosipitali kujifungua na yeye wanawesha kumchafirisha kwa Bajaj... Au ni shishi tu anatufanyia hifi!!!!!

NAOMBA KAMA ALIYE NA PICHA YA HIZO AMBULANCE TAFADHARI!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Nimekuwa nikifuatilia harakati za wabunge wa CHADEMA kwa muda sasa.
Walio wengi wamejikita kufanya kazi za 'kichama' zaidi kuliko kutimiza wajibu wao kama wawakilishi wa wananchi.
Hata michango yao bungeni hulenga zaidi kutafuta umaarufu wa kisiasa wa chama badala ya kutatua kero za nanchi wao majimboni kwao.
Wengi wao wakiulizwa hapa, hutoa majibu rahisi kuwa hawana dola hivyo hawewezi kutekeleza ahadi zozote za maendeleo majimboni kwa kuwa hawakusanyi kodi!
Swali ni je:
  1. Mtawambia hivyo wapiga kura wenu 2015? Kuwa hatukufanya lolote kwa kuwa hatukuwa na dola?
  2. Au mtaonesha kadi za CCM zilizorudishwa kwenu kama mafanikio yako ukiwa mbunge?

Wabunge wa CDM, Tafakari na muchukue hatua!

- Kwani majukumu ya wabunge ni yapi? Hao wa Chedema walio shinda kwa mara nyingine walifanya nini? Mkuu sikiliza watanzania wamechoka sana wao wanataka Mabadiliko bila kujali hayo mabadiliko yatakuwa na Faida kwao au la,

WaTanzania si kwamba wanapenda chadema na wabunge wao kwa sababu wao ndo wanawaletea maendeleo, no they need changes,

CCM WANAWAMISHA KWAMBA KAZI YA MBUNGE SI KUISIMAMIA SERIKALI TENA BALI NI KUJENGA BARABARA, KODI ZINAKUSANYWA ZINASIHIA KUJENGA MAHEKARU, KUNUNU V8 NA KUGHALAMIKIA SAFARI ZA VIONGOZI NA WAPAMBE WAO NJE YA NCHI,

- Mbona humuulizi KIKWETE AMETEKELEZA AHAI NGAPI? juzi nikuwa TANGA na Moja ya AHADI YA KIKWETE NI KUFANYA MKOA WA TANGA KUWA WA VIWANDA NA ALIAHIDI KUFUFU VIWANDA VYOTE VYA TANGA Ila mpaka sasa ikiwa imesalia miaka 3 hakuna kiwanda hata kimoja kilicho fufuliwa achilia mbali kujenga vipya,
 
Kuna mambo mengi ya kuwaambia ukizingatia majimboni wamefanya kazi nzuri sana za maendeleo.Mfano mbunge wetu wa ubungoamekuwa akifuatilia tatizo la maji kila siku.Tunaona mabadiliko ukilinganisha na keenja.Kuna mengi wamefanya labda angalia majimboni utaona utkelezaji na sio nadhalia
 
Nadhani kuja haja watu wakaelimishwa kazi ya mbunge nini.Kwangu mimi niweza kuwasifia sana wabunge wa CDM kwa kazi kubwa wanayofanya majimboni ukilinganisha na majimbo yaliyochini ya ccm.Tazama ubungo mnyika kila siku anahangaikia kutatua matizo ya wananchi
 
Wabunge wetu wa CHADEMA hawana haja ya kutuambia sisi wananchi nini wamekifanya sisi wenyewe tunaona nini wanakifanya bungeni, na hata nje ya bunge,bunge bila CDM si bunge hii ni wazi mwenye macho haambiwi tazama.
 
Mtoa maada ajibu Dr alifanya KARATU nini akawa anachaguliwa kila uchaguzi?

KILICHO WAFANYA WANA KARATU WAWE WANAMCHAGUA DR KILA UCHAGUZI NDO HICHO KITAFANYA WA MAJIMBO MENGINE WAWACHAGUE CHADEMA,
 
labda ungeweka majina na wabunge wa chadema na majimbo yao na wabunge wa ccm na majimbo yao ili tulinganishe.
 
Blah, blah, blah blah.....Swali ni je:
Mtawambia hivyo wapiga kura wenu 2015? Kuwa hatukufanya lolote kwa kuwa hatukuwa na dola?
Ndiyo, tutawaambia jinsi tungekuwa na dola wizi, ubadhirifu, ulaghai, ufisadi, rushwa...vyote vingekuwa historia na badala yake utawala wa usawa, haki, uwajibikaji...ndivyo vingeshika kasi.
Au mtaonesha kadi za CCM zilizorudishwa kwenu kama mafanikio yako ukiwa bunge?
Ndiyo tutaonesha jinsi CCM, chama cha mafisadi, kilivyokosa mvuto na kukimbiwa na wananchi kila kona ya Tanzania. Watu wanataka maendeleo na maisha bora na siyo blah blah za kisanii.
Wabunge wa CDM, Tafakari na muchukue hatua!
Tafakari zimechukuliwa zamani na hatua zinaendelea kuwaelimisha wananchi kupitia operation "vua gamba vaa gwanda" inayoendelezwa kama kazi na wabunge pamoja na viongozi wa ngazi mbali mbali ndani ya Chadema, upo FREEWorld ?
 
Da ebana tatizo ni mfumo mbovu 2lionao ndio unaofanya chadema wawaelimishe watu na si kweli kwamba yanyofanywa na chadema now ni kukuza cha la hasha,bali ni kuwafaya watanzania wajitambue,na ili maendeleo yapatikane ni lazima mifumo mibovu iliyopo hapa kwe2 tanzania ibadilishwe kwa hiyo ni kweli kabisa mimi binafsi nimeona jinsi selikali ye2 kutokana na mifumo mibovu iliyopo imeshindwa kusimamia fedha za walipa kodi,na hebu jiulize ni wakina nani waoujumu hizi fedha za walipa kodi,je umeshawasikia?,je na ndio hawa viongozi we2 walioibeba nchi tokeo kipindi hizo hela za maendeleo ya majimbo na mitaa zinaliwa hawjui.na kama walikuwa wanajua walikuwa wapi?,kuchukua hatua mpaka leo washinikizwe ndio eti nao wanajifanya wamefunguka,kwa hiyo ili mifumo mibovu ibadilike inabidi 2badili hii selikali 2liyo nayo afu sasa ndo 2weze kuwanyoshaea vidole hawa chadema,bora kufa katika kupigania haki kuliko kukubali kuongozwa na wa2 wanaoujumu nchi ye2
 
nimekuwa nikifuatilia harakati za wabunge wa chadema kwa muda sasa.
Walio wengi wamejikita kufanya kazi za 'kichama' zaidi kuliko kutimiza wajibu wao kama wawakilishi wa wananchi.
Hata michango yao bungeni hulenga zaidi kutafuta umaarufu wa kisiasa wa chama badala ya kutatua kero za nanchi wao majimboni kwao.
Wengi wao wakiulizwa hapa, hutoa majibu rahisi kuwa hawana dola hivyo hawewezi kutekeleza ahadi zozote za maendeleo majimboni kwa kuwa hawakusanyi kodi!
Swali ni je:
  1. mtawambia hivyo wapiga kura wenu 2015? Kuwa hatukufanya lolote kwa kuwa hatukuwa na dola?unawafatilia wapi??mbona unaonekana unaweza kufikiri???wewe unauwezo wa kuitembelea tz nzima waliko wabunge wa cdm???basi karibu singida kwa lisu uje ujionee aloyafanya kwa mwaka 1 tu ukalinganishe na wanayofanya wabunge wa ccm ambao hawatoki jimboni kama unavyo dai.....think big men................................................................................................................................................................................................................
  2. .......................................................................................................................................................................................................................................
  3. au mtaonesha kadi za ccm zilizorudishwa kwenu kama mafanikio yako ukiwa mbunge?

wabunge wa cdm, tafakari na muchukue hatua!
duuu kweli we ndo unafikiri kichina.....ulidhani kukaa jimboni ndo maendeleo??kama ingekua hivyo tz situngesha kufa?coz ata sasa presidee yuko abroad.....ebu changamsha bongo basi acha kulaza akili bana ..karibu singida kwa lisu ujioneeee vitu
utatupenda cdm
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom