Bora mkuu uwaumbue tu, yaani haina kazi ya maana ni rushwa tu kuanzia kwa kofia, kununua kadi za wapiga kura, khanga, wali wa maharage. Yaani sijui niseme nini!! Miporojo tu imewajaa. Watanzania wanataka wasikie hoja za maana bunge la bajeti wao wanarushiana taarabu na matusi. Wale wanaotoa hoja za maana wanafukuzwa nje.
kasage chupa unywe.
Aliyetukana kakosea na kaomba msamaha ila inakuaje mbunge unaamrishwa na spika ukae au kutoka ukumbini unakataa wewe kama si ganja ni nini? Nani anakuongoza bungeni?
Aliyetukana kakosea na kaomba msamaha ila inakuaje mbunge unaamrishwa na spika ukae au kutoka ukumbini unakataa wewe kama si ganja ni nini? Nani anakuongoza bungeni?
Mtakufa kwa stress for your fear and irrational hatred towards CHADEMA na hivi kila plan yenu inakuwa frustrated..... ndo kwisha habari yenu...
Haya mnayaongea saizi wenzenu wakiwa wamepanic kwa tabia mbaya za wabunge wa Cdm?
Waliosema "Mbwa", "Faka you" na "mchungaji wa Nguruwe" wote ni CHADEMA. kweli kuna haja ya kuwapima akili ikiwa ni pamoja na wewe mleta mada..
Kabla ya hawa, wabunge gani walikuwa wanakufurahisha huko nyuma.Nakichukia sana chadema ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa tundu lissu, godless, sugu,mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Jf' haki mmeinunua chadema, hadhi yake imepotea kwakuendeleza mapenzi yasio na mipaka, haya mod's ondoeni na haya mawazo yangu.
hivi kweli haya ni mawazo,
Hulka ya bavicha hizi. madhara yake yanaonekana Bungeni...
Wabunge wa cdm wanakichafua chama na kupelekea maudhi ya kukichukia.
Msomi na mtu aliyestaarabika hawezi bishana na Spika.
Hata mi nimeona madhara yake hebu sikia hapa kwa serukamba , sijui nae yupo BAVICHA http://www.homeimprovement.com/soundcloud.com/jamiiforums/bungeni-aprili-17-2013
pole kwa kuchukia CHADEMA ila nadhani itapendeza kabla yakuchukia ungeanza na waziri mkuu maana badala ya kutoa maelezo yake kuhusu bajeti yake kamaliza dakika 45 anamzungumzia MBOWE kama ndiyo na CHADEMA hivi kweli hakuwa nakitu chakuwaeleza watanzania zaidi ya kumwongelea huyu mweshimiwa.Pili hata tukikubali kuwa wabunge wa CHADEMA niwakorofi je hawa wabunge wa CCM wao nivipi mbona kila anayeamka anazungumzia CHADEMA au ndiyo iliyowatuma bungeni nadhani wabunge wa CHADEMA wanastahili kufungwa milele wa CCM wanastahili kupigwa mawe mpaka wafe
Ndiyo mana jana Rage alimwambia Lissu arudi akaosome yake ya sheria upya baada ya kumpa taarifa kumbe kanuni likuwa kaikosea!,hii ni hatari kuna hoja za msingi sana ambazo binafsi naziunga mkono lakini sio kile kinachoendelea,cha kuzomeana hili hata awe amefanya wa CCM nitamuona 'mwehu' kama ambavyo hata hao nawaona 'wehu'.Wabunge wa cdm wanakichafua chama na kupelekea maudhi ya kukichukia.
Msomi na mtu aliyestaarabika hawezi bishana na Spika.
hivi kweli haya ni mawazo,
akili ndogo kamwe haiwezi ongoza akili kubwa utajisikiaje uko unaangalia tv sitting room katoto kako kakazima tv na taa zote kakasema haya wote mwende mkalale kile kiti pale mbele bora kuweka tarumbetaMpaka angesifia CDM ndo ungeona ni mawazo?!,jadili hoja wacha uzandiki wako huo!
Kwanini haya yanatokea siku hizi? CDM mnatumia ukumbi wa bunge ni sehemu ya kampeni badala ya kutunga sheria na kujadili masuala ya maendeleo kila kukicha matukio yenu niya kutafuta huruma ya wananchi. Singo zenu zimeishiwa na wakati.