Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

na wewe umeibukia wapi? au umeamkia kweye viroba nini? angalia mabunge mengine uone. watu wanapigana hadi ngumi. wabunge wanatupiana hadi manyai viza ili kutetea maslahi ya wapiga kura wao. nyie mangamba mmezoea ndiyoooooooo tu bila ku analyse the effect of tha ndiyoooooo. au mnezoea NAUNGA MKUNO HOJA KWA 100% ILA NASHIDA ZIFUATAZO SASA HUO SIYO UK"££%^*(*****.
 

Namna gani yule wa CCM aliyetukana bungeni ---- YOU! Huyo hakushusha hadhi ya Bunge? Nyani haoni kundule.
 
STILL PATHETIC.
Hivi yale matusi yaliyoporomoshwa na Nkamia,Mwigulu,Mabumba,Lusinde na Peter Serukamaba aliyesema Fu*k U ndio yanayoliletea bunge hadhi?
Ni kampeni ipi hiyo imefanywa na CHADEMA bungeni?Be specific.
Unapotoa hoja hakikisha unaweka "clues"za msingi ili iweze kujadiliwa.
Hapa sasa najadili namna unavyotoa hoja na sio yaliyomo ndani ya hoja.
DONT BE FANATIC.
 

CHAMVIGA wewe ni mnafiki sana, lakini pia nina-Question intelligence yako!!! You are what we call a "Flip-Flopper" ...!!! Huna stand, huna unachokisimamia, huna unachokiamini!! You are backless, no spinal cord!!! And they say a Man who stands for nothing, will fall for anything!!! Wewe ndio wa kuongea wehu huu???? Jana tu umetoka kuongea the complete opposite of this!!!! Unachotafuta hasa ni nini??? hivi kweli vijana ndio tuna muda wa kupoteza namna hii??? You said that, You think Chadema is important, hutaki ife kwasababu ya Pressure wanayoipa serikali na kuifanya ifanye kazi!!! You appraised the party moves. Hii ni extract ya post yako ya jana in reply to a thread "Who is Ben Saanane: Intelligence Vs Naivety;

ULISEMA: "Fistly i am not a member or a follower of cdm but for my little understanding cdm is very important oppositional party and i don't want even to see it died or vanished because with chadema's effort we sow alot of mistakes our government conducted before now things goes nicely because of the pressure of this party." MWISHO KUNUKUU...

Leo unasema, unatamani wafunge midomo bungeni, Mr/Miss Flipflopper!!!! Have a stand and keep it!! Watu wako makini, your moves do not go unnoticed... Be consistent, We are watching You!!!! Hizo unazoita vurugu, ndio pressure yenyewe kwa serikali korofi yenye bunge linalopindisha kanuni na sheria kwa maslahi ya chama tawala!!

By the way, Kama kuna watu wanastahili kufukuzwa Bungeni ni, Mwigulu Nchemba, Peter Serukamba, Juma Nkamia, Livingstone Lusinde, Job Ndugai na Anna Makinda....

Be productive and objective; this is no time ya kuchekea serikali Impotent..!!!!!!!!!
 
Haya bana mimi siyo mwanasiasa ila ninauchungu na nchi yangu kwa hiyo kwangu mimi waliosimamishwa na waliobaki matumizi yao ya ruzuku sioni tofauti. Ninachokiona tu ni kuwa tunasafari ndefu sisi kama watanzania kufikia maendeleo ya kweli yakiwemo ya kifikra.
 

Nashukuru kwakuwa umekuwa unafuatilia movement zangu na umeonyesha nilivyo uprise Chadema kwa umuhimu wake kama chama cha upinzani kinachoitia presha serikali katika utekelezaji wa majukumu yake kwa wananchi but let me tell that sikila wanachofanya naunga mkono.
Chama kikuu cha upinzani kinachotarajiwa kuchukua nchi hakipaswi kuiga yale tuliokuwa kila siku twayapigia kelele kwamba chama tawala kinafanya.
Hivi unadhani hakuna njia bora ya kuibana serikali na kuiwajibisha zaidi ya majibizano kama yale yanayotokea bungeni.
DR SLAA, ZITTO, MNYIKA, MDEE ni wabunge wa upinzani ambao kwa wakati tofauti wameitikisa nchi kwa hoja nzito bila vurugu wala majibizano na spika, unakumbuka Zitto alishawahi kufukuzwa bungeni je alimgomea spika?
Mimi napenda moves za chadema ila si kila moves.
Mwaka 2010 ccm ilikuwa ina mpango wa kuongeza mshahara wa walimu kwa asilimia 100% lakini cdm wakaharibu je mpango huu uliokuwa na faida kubwa sana kwa walimu kuukandia sababu ya kisiasa.
Mimi huo ndio uoni wangu.
 


Bahati mbaya sana wewe siyo spika :rockon::nono:
 
Inasikitisha kuwa katika karne kama hii bado kuna watu ambao mtizamo wao au uwezo wao wa kifikra na kimawazo ni mfinyu kwa kiwango hicho. Hivi mtu anayekutetea na kutetea maslahi ya nchi anakuwa anakera wapiganiwa! Hebu tujiulize swali hili fupi ni yupi anayedharirisha bunge letu kati ya anayesimama kutetea wezi, waharifu na mafisadi kwa nguvu za dola? Nidhari wazi anayedharirisha ni yule anaetetea uasi dhuruma na ufisadi na uhujumu uchumi akiwa sebuleni tena mchana kweupe. Hatuna budi kuwapongeza akina LEMA, LISSU, WENJE, FILIKONJOME, MNYIKA, nk.

Tusipowaunga mkono tunajiaibisha wenyewe kuwa ni mazuzu ambao unaweza kuwa unawaibia na kuwahujumu halafu wakakupigia makofi na kukuimbia nyimbo nzuri za kukusifi. Je tuendelee kuwasifia washirika wa RICHMOND, KAGODA, EPA, KIWIRA eti wametutendea mema, tuacheni uzuzu tuwe Taifa lenye mwamko, mapinduzi, Taifa lisilo lenye ubaguzi wa kwa misingi ya itikadi ya kisiasa, kidini, kiwango cha elimu.
 
Wewe ichukie chadema kwa sababu wanapokonya mfumo wako wa kupata tonge lako chini ya ccm!!!!!!!!!!!!!! Lakini watz wengi wanaamini bila chadema ccm ingekuwa imeshawauza watz wote!!!!!!!!!!!
 
wewe ni zaidi ya mpumbavu,mjinga,bwegena hata zuzu sijui nikuite nani,usitumie umasaburi
 
Mnapambana na mtu aliyepewa ajira na ccm ili kukishambulia CDM......lipuuzeni hilo ni kama zuzu linatumika kwa kupewa vijicent il lipotoshe ukweli.
 

Haya ndiyo matokeo ya kutoroka shuleni.
Hovyooooooooo!
 

Huna Ubongo una maji matupu.
 
Umepumua sasa! Basi tulia! Elewa kwamba, Wengi tunatambua kwamba hao uliowataja ni baadhi tu ya wawakililishi wa watanzania wanao inyima usingizi serikali hii dhaifu , Haiwapendi, haiwataki, lakini haina namna. Makinda hawataki, hawapendi lakini hana namna! wewe hauwapendi, hauwataki, lakini hauna namna hata kama ungekuwa spika usinge thubutu kuwanyima haki yao ya kutoa mawazo yao bungeni. HAUFAI HATA KIDOGO, Haufai kwa sababu hautaki kusikia mawazo yaliyotofauti na mawazo yako, Unataka wote wawaze kama wewe. HAUFAI hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji, kwa udikteta wako!
 

Umenielewa vibaya soma coment zangu humu utaelewa.
 
Ndiyo maana siyo wewe na huna hoja,na wala hujui kitu kinachoitwa siasa, kama huna hoja punguza utamaduni wa kuandika tu kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…