kilaza mjanja
JF-Expert Member
- Jun 2, 2016
- 654
- 1,143
Si kweli kwamba wanalazimishwa kuingia Bungeni yawezekana kuna hoja nzuri Zaidi ila kwa hii sababu si kweli kwa sababu ni Jukumu la Wabunge kuingia bungeni ndio kazi yao, yaan ofisi yao kuu ni Bungeni, sasa iweje walazimishwe kuingia bungeni?
Ni kama mwanafunzi wewe ofisi yako ni Darasani, sasa iweje ulazimishwe kuingia darasani?
Huu ndio uchochezi unaopigiwa kelele kila siku,sasa kusema hivyo unamaanisha niniKuingia bungeni sio swala la hiari .WApiga kura wamewapigia kura wabunge waingie bungeni sio wajichagulie kama wanataka kuingia au hawataki.Ningekuwa Dodoma ningenunua rungu niwakimbize wabunge wa UKAWA waingie bungeni kwa nguvu.Kazi waliyotumwa ni kuwemo bungeni sio nje ya bunge vikao vinapoendelea.