Wabunge wa CCM waitwa na kuonywa kuhusu saini 70

Ila maybe makosa sio ya Mawaziri wakuu bali ni commander in chief..

Yaani Katika kipindi cha President mmoja tunataka kuondoa Prime Minister wawili ?, lazima boss wao ndio ana matatizo..

Once is a Coincidence, Twice is a Trend.., and the Boss should go...

True. Lakini bunge halina uwezo kikatiba wa-kumuondoa Raisi.
 
Huyu January huwa simuelewi kabisa. Hivi si huyu huyu ali-support Ngeleja ku-resign? Kama alimuambia infront of his face mbona Ngeleja haja-resign mpaka leo? Je what was the next step he (January) took? Inawezekana anachosema about notice ya siku 14 ni sahihi lakini; is it real the reason amekataa kusaini??? January, if you do not stand up for something you will fall for everything. I think it is better for you to stand strong; tell people why you do not believe Pinda should be held accountable. Whether people will agree with you or not just stand your ground acha maneno mengi.
January kwanza hakuchaguliwa na watu wa Bumbuli,kaingia kimizengwe Bungeni na yeye analijua hilo.
 
Very Good Lukuvu anafanay Kazi
:A S 41::A S 41:
Zitto atakuwa ametokwa na mimacho :glasses-nerdy:

Nina mashaka na u-Dr wako, kutetea uozo serikalini ni kufanya kazi? Huyo Lukuvi ni kati ya mawaziri wabovu maana hata jana kweye bunge Filikunjombe aliposema baadhi ya mawaziri ni wezi yeye kaanza kushikilia alete ushahidi kuthibitisha mawaziri 'wote', kimsingi alikuwa anajaribu kumkata makali mh Filikunjombe, Lukuvi ni hovyo hajawi na hatakuwa mchapa kazi, yupo kujilinda na kulinda wazee
 
Kura 73 zimepatikana tayari, kanuni inafuatwa, na jumatatu hoja inasilishwa bungeni. Kanuni inasema anagalau siku kumi na nne hivyo hata siku 90 kura zitaendelea kuwa na nguvu,

Source: Zito interview Clouds FM, 01 jioni, 20/04/2012
 
Kwa mujibu wa Zitto kabwe hadi sasa saini 30 zimepatikana kutoka CDM,CUF na NCCR.
Wabunge wa CCM waliodhamiria wameitwa na Mnadhimu wa serikali bwana Lukuvi

Source: Zitto on twitter

Update
Deo filikunjombe ametia saini
NI ushindi huu

Zitto Zuberi Kabwe ‏ Zittokabwe
#Sahihi70 ndugu Deo Filikunjombe amesaini. Huu ndio unaitwa ushujaa. Kuwa upande wa wananchi.

Zitto Zuberi Kabwe ‏ @zittokabwe
#Sahihi70 mpaka sasa tumepata sahihi 52 kutoka kwa wabunge wa vyama vyote isipokuwa #UDP

updates...saini zafika 62.

Zitto Zuberi Kabwe ‏ Zittokabwe
#sahihi70 tumepata sahihi 62 mpaka sasa. Makao makuu CUF imetoa agizo kwamba wabunge wao waweke sahihi. Tutafanikiwa

Update please, Update please.
Keep pushing on principles not rhetoric. You have MASSES behind you. We Tanzanians are ready for change now. We don't have to wait for change until 2015.
 
mbona wabunge wa ccm walikuwaq wanawaka hawajatia saini hata moja? hahah
 
Ccm wanafiki nashangaa kwanini watanzania hawalioni hilo!ngoja muone watakavyoingia mitini ktk hilo swala kwani mangapi yameshapita hvyohvyo
 
What January has tweeted doesn't make sense at all. The issue here is not to have audacity to tell someone on his face to resign, but rather to be forthcoming with the public by practicing what one has been preaching. For so long, Wananchi have been complaining about inefficiencies and embezzlement conductedby our leaders but to no avail. Now, Bunge is on the verge of making a tough decision and unfortunately this rookie member of parliament is trying to pooh-pooh it by calling it a "public stunt. "

It's imperative for him as well as his colleagues to put partisans politics aside, and look at the big picture (Tanzania). Wananchi are not going to differentiate between those who have remained silent and those who have squandered public resources. To use president Bush analogy," it's either you are with them (mafisadi)or with us (Wananchi)." Makamba et al. have two options, either to follow suit and sign Hon. Zitto referendum or to remain silent and wait for punishment comes 2015.

Lastly, I would like to conclude by thanking and congratulating all those who have supported this referendum! What they have been able to accomplish momentarily is beyond imagination. Bunge is on the verge of voting to out the prime minister? We are witnessing history in the making. I firmly believe, Tanzania will soon see light at the end of the tunnel.
 
TAARIFA

Mawaziri Wanne wamejiuzulu tayari ndani ya CCM, sasa wanajitayarisha kulifahamisha taifa rasmi, Wabunge wa CCM wako kwenye kikao chao cha chama kabla ya kuja kwenye bunge ili itangazwe rasmi.
 
What January has tweeted doesn't make sense at all. The issue here is not to have audacity to tell someone on his face to resign, but rather to be forthcoming with the public by practicing what one has been preaching. For so long, Wananchi have been complaining about inefficiencies and embezzlement conductedby our leaders but to no avail. Now, Bunge is on the verge of making a tough decision and unfortunately this rookie member of parliament is trying to pooh-pooh it by calling it a "public stunt. "

It's imperative for him as well as his colleagues to put partisans politics aside, and look at the big picture (Tanzania). Wananchi are not going to differentiate between those who have remained silent and those who have squandered public resources. To use president Bush analogy," it's either you are with them (mafisadi)or with us (Wananchi)." Makamba et al. have two options, either to follow suit and sign Hon. Zitto referendum or to remain silent and wait for punishment comes 2015.

Lastly, I would like to conclude by thanking and congratulating all those who have supported this referendum! What they have been able to accomplish momentarily is beyond imagination. Bunge is on the verge of voting to out the prime minister? We are witnessing history in the making. I firmly believe, Tanzania will soon see light at the end of the tunnel.

It is obvious that this January guy is indifferent. Pleasing the wananchi or his supposedly masters!
 
Haina haja ya kumsililiza Lukuvi anasema nini, kila mbunge anatoka sehemu yake na amechaguliwa na wananchi wa jimbo lake na siyo Lukuvi. Nyie wabunge tunataka mpime wenyewe na kuchukua maamuzi magumu, mkifanya masihara na sisi 2015 lazima tuwapige chini.
 
Back
Top Bottom