Ni kweli kasema hivyo, na akaombwa muongozo na mbunge wa ccm...hakika ktk wana cdm wanaolipwa buku 3 wewe umo. au kunamtu anakupumulia kisogoni???? Cdm kwa kugawa tigo hawajambo.
Katika hali isiyo ya kawaida naibu spika wa bunge mh. Job ndugai amewatahadharisha wabunge wa vyama vingine kua wasikiseme sana chama cha mapinduzi maana atafungulia mbwa(yan ataruhusu wabunge wa ccm) nao washambulie vyama vyao.je anachokifikiria bw ndugai ni sahihi,kuwaruhusu wabunge wa ccm ni sawa na kufungulia mbwa?
Who Let the Dogs Out???
amefanya vizuri sanaMh. Silinde wa CDM ameomba mwongozo kutaka kujua kama mbwa hao ndo wabunge wa CCM kwa nini Ndugai kaamua kuwaita wenzie hivyo... Ndugai kapotezea hajajibu........
Katika hali isiyo ya kawaida naibu spika wa bunge mh. Job ndugai amewatahadharisha wabunge wa vyama vingine kua wasikiseme sana chama cha mapinduzi maana atafungulia mbwa(yan ataruhusu wabunge wa ccm) nao washambulie vyama vyao.je anachokifikiria bw ndugai ni sahihi,kuwaruhusu wabunge wa ccm ni sawa na kufungulia mbwa?
kabisa,msemakweli ni mpenzi wa mungu.Kwani wewe unavyoona wana akili ya binaadamu? Kufanana nasisi kimaumbile hakuwafanyi nao kuwa binadamu. Job kaangalia jinsi wanavyowatumia nao wanakubali bila kujihoji, akaona hii ni mijibwa koko tu. Hongera Nduga siku nyingine huwa unakuwa mkweli, na Mungu akulinde
Katika hali isiyo ya kawaida naibu spika wa bunge mh. Job ndugai amewatahadharisha wabunge wa vyama vingine kua wasikiseme sana chama cha mapinduzi maana atafungulia mbwa(yan ataruhusu wabunge wa ccm) nao washambulie vyama vyao.je anachokifikiria bw ndugai ni sahihi,kuwaruhusu wabunge wa ccm ni sawa na kufungulia mbwa?
Who, who whowhoWho Let the Dogs Out???
amefanya vizuri sana