kaka km
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 1,336
- 681
Katika hali isiyo ya kawaida naibu spika wa bunge mh. Job Ndugai amewatahadharisha wabunge wa vyama vingine kua wasikiseme sana chama cha mapinduzi maana atafungulia mbwa(yani ataruhusu wabunge wa CCM) nao washambulie vyama vyao.je anachokifikiria bw Ndugai ni sahihi,kuwaruhusu wabunge wa CCM ni sawa na kufungulia mbwa?