Wabunge wa CCM wafananishwa na mbwa na naibu spika

Status
Not open for further replies.

kaka km

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
1,336
681
Katika hali isiyo ya kawaida naibu spika wa bunge mh. Job Ndugai amewatahadharisha wabunge wa vyama vingine kua wasikiseme sana chama cha mapinduzi maana atafungulia mbwa(yani ataruhusu wabunge wa CCM) nao washambulie vyama vyao.je anachokifikiria bw Ndugai ni sahihi,kuwaruhusu wabunge wa CCM ni sawa na kufungulia mbwa?
 
Hata hivyo Ndugai hakukosea. Lakini ajue naye ni mmoja wao, kwa hiyo naye ni he he heee!
 
hawajitambui kama wao ni maumbwa, wala si mbwa manake mbwa anaheshima, hebu atuwekee huo mkanda wa komedi utakaotusaidia kuimaliza ccm.
 
Katika hali isiyo ya kawaida naibu spika wa bunge mh. Job ndugai amewatahadharisha wabunge wa vyama vingine kua wasikiseme sana chama cha mapinduzi maana atafungulia mbwa(yan ataruhusu wabunge wa ccm) nao washambulie vyama vyao.je anachokifikiria bw ndugai ni sahihi,kuwaruhusu wabunge wa ccm ni sawa na kufungulia mbwa?

Huyu jamaa si kasomea mambo ya kuongoza wanyama? Sasa binadamu hawezi kamwe kuwaongoza, anafikiri anaongoza mbogo.
 
Hahahahaa kwani yule waziri aliesema wapigwe tu wanatofauti gani ndugu yaani wanavyoongea utafikiri huwa wanapitia kwenye vibanda vya gongo
 
Mh. Silinde wa CDM ameomba mwongozo kutaka kujua kama mbwa hao ndo wabunge wa CCM kwa nini Ndugai kaamua kuwaita wenzie hivyo... Ndugai kapotezea hajajibu........
 
Katika hali isiyo ya kawaida naibu spika wa bunge mh. Job ndugai amewatahadharisha wabunge wa vyama vingine kua wasikiseme sana chama cha mapinduzi maana atafungulia mbwa(yan ataruhusu wabunge wa ccm) nao washambulie vyama vyao.je anachokifikiria bw ndugai ni sahihi,kuwaruhusu wabunge wa ccm ni sawa na kufungulia mbwa?

Kwani wewe unavyoona wana akili ya binaadamu? Kufanana nasisi kimaumbile hakuwafanyi nao kuwa binadamu. Job kaangalia jinsi wanavyowatumia nao wanakubali bila kujihoji, akaona hii ni mijibwa koko tu. Hongera Nduga siku nyingine huwa unakuwa mkweli, na Mungu akulinde
 
kabisa,msemakweli ni mpenzi wa mungu.
 
Katika hali isiyo ya kawaida naibu spika wa bunge mh. Job ndugai amewatahadharisha wabunge wa vyama vingine kua wasikiseme sana chama cha mapinduzi maana atafungulia mbwa(yan ataruhusu wabunge wa ccm) nao washambulie vyama vyao.je anachokifikiria bw ndugai ni sahihi,kuwaruhusu wabunge wa ccm ni sawa na kufungulia mbwa?

mpaka wawafikie wapinzani watakuwa katika hali ya mbwa kachoka
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom