Wabunge wa CCM mzigo usiobebeka (e.g Hamis Kigwangalla)

makwimoge

JF-Expert Member
Apr 14, 2011
298
42
Niko mbele ya Luninga, namsikia Ndugu Tundulisu akichangia juu ya misamaha ya kodi kwa wawekezaji,nikamuelewa vizuri sana juu ya hoja zake.Akasimama mbunge wangu Ndugu H.A Kigwangala(Said Bagaire) akaanza kuwatetea wawakezaji na kuunga mkono hoja kwamba wawekezaji eti wanaleta ujuzi.
Ikumbukwe kuwa huyu mbunge alikuja na sera ya kuandamana(AMKA NZEGA) kwenda mgodini kwa ajili ya mgodi kufungwa kwa vile hauna faida kwa wazawa wa Nzeaga.
1.Kweli ni yule aliyetuambia atakuja kwa ajili ya kuandamana ndiye anayeogea hayo,
2.Kwa kutuacha hewani wana Nzega ni kwamba ametudharau kwa kutudanganya?
3.Je mkutano wake wa mwezi wa 4 jimboni Nzega alikuwa anatupotezea muda wetu?
 
kaka viroba vya mchanga vipo vingi tu ambavyo taifa limevibeba.
 
Ni msoma ramani huyu, na hii ndiyo sifa kuu ya wabunge wa ccm.
Kesho akiona upepo wa tofauti anatamka jipya.
 
alishasahau kama aliandamana na watu wake........wabunge wengi wa ccm ni mzigo
 
Walimshika pabaya Kigwangallah, kumbe yeye ni Said Nassor Bagaile sasa hawezi tena kuipinga CCM hivyo inabidi atetee uozo wa CCM vinginevyo Hamis Andrea halali ataletwa na yeye kuvuliwa ubunge.
 
nilisikia habari kuwa dada yetu mpendwa Wema Sepetu naye pia anawania kuingia bungeni hata ikiwezekana kabla ya 2015!!!
 
Zao la ufisadi ni Fisadi, Hakupata ubunge kwa njia ya halali USITEGEMEE WAZO LOLOTE LA MAANA KUTOKA KWAKE.
 
Tundu Lisu Alimwambia Kigwangala ......"Huyu alienda kuanzisha maandamano kwenda kwenye mgodi wa madini akiamini kuwa mwekezaji anawanyonya wanakijiji, Sasa hivi anatuambia nini huyu".

Lisu bana!!! kile ni Kisu hatari sana!
 
Huyu jamaa ana bahati kwa kuwa ni mtanzania ingekuwa ulaya kosa la kumwibia mtu nafasi ya masomo lilikuwa si la kuvumiliwa hata kidogo.Pamoja na hayo si kosa lake kwa sababu ukiwa mwanachama wa chama cha magamba akil huwa inahamia kwenye makalio unakuwa unaikalia so huwezi kujua mema na mabaya
 
Niko mbele ya Luninga, namsikia Ndugu Tundulisu akichangia juu ya misamaha ya kodi kwa wawekezaji,nikamuelewa vizuri sana juu ya hoja zake.Akasimama mbunge wangu Ndugu H.A Kigwangala(Said Bagaire) akaanza kuwatetea wawakezaji na kuunga mkono hoja kwamba wawekezaji eti wanaleta ujuzi.
Ikumbukwe kuwa huyu mbunge alikuja na sera ya kuandamana(AMKA NZEGA) kwenda mgodini kwa ajili ya mgodi kufungwa kwa vile hauna faida kwa wazawa wa Nzeaga.
1.Kweli ni yule aliyetuambia atakuja kwa ajili ya kuandamana ndiye anayeogea hayo,
2.Kwa kutuacha hewani wana Nzega ni kwamba ametudharau kwa kutudanganya?
3.Je mkutano wake wa mwezi wa 4 jimboni Nzega alikuwa anatupotezea muda wetu?
Ttizo lipo kwenu wenyewe mlichagua mbunge ambaye si mwaminifu na tena ni kilaza wa kutosha!!
 
Hapo ndipo wananchi mtafahamu tofauti kati ya kuchagua mbunge Bora na kuchagua Bora Mbunge, Next time chagueni Mbunge Bora. Poleni wana wa Nzega next time msidanganyike, tatizo lenu bado Mkoa wa TABORA mnamawazo mgando. mmeng'ang'ana na ccm, wakati katika mikoa ambayo haina maendeleo na wala hakuna hatua za kuleta maendeleo miaka nenda miaka rudi ni TABORA, amkeni ndugu zetu!
 
Sio Kigwangala tu. Vituko na vioja zaidi alivionyesha AG hadi Zitto alipomrudishia akili kidogo. NW wa Biashara, Nyalandu, naye alikuwa kituko cha aina yake pale alipokuwa akinukuu matamshi ya kejeli ya Jomo Kenyatta kwa Mwalimu. Nyalandu akawa anatetea wawekezaji kwenye EPZ na SEZ kama mjinga flani hivi.
 
Tundu Lisu Alimwambia Kigwangala ......"Huyu alienda kuanzisha maandamano kwenda kwenye mgodi wa madini akiamini kuwa mwekezaji anawanyonya wanakijiji, Sasa hivi anatuambia nini huyu".

Lisu bana!!! kile ni Kisu hatari sana!

Jamaa alijibu vp??mbona story nusunusu??
 
Tundu Lisu Alimwambia Kigwangala ......"Huyu alienda kuanzisha maandamano kwenda kwenye mgodi wa madini akiamini kuwa mwekezaji anawanyonya wanakijiji, Sasa hivi anatuambia nini huyu".

Lisu bana!!! kile ni Kisu hatari sana!

Huyu said Nasoro Bagaire anatia aibu sana!!
 
Kitu kilichoniondoa stimu katika kikao hicho ni pale Mibunge ya CCM ilipokuwa inakubali kupitishwa kwa vifungu ambavyo hata hiyo yenyewe haikuwa ikiridhika toka moyoni. Kwa mfano pale Simbachawene alipounga mkono hoja ya Mnyika kisha katika kupiga kura akawa upande wa serikali. Kama hiyo haitoshi eti Waziri Mdogo, Nyarandu anatetea hoja kwa vile tu Uganda na Kenya ipo hivyo hivyo kwa hiyo sisi hatuwezi kuibadilisha huku kwetu! Sasa kama wanaona kwamba kitu kilichokubaliwa na Uganda na Kenya ndicho kinachotakiwa kiwe, kwanini wanakuja kukijadili bungeni! Au wameamua tu kupoteza pesa za walipa kodi kwa kukaa bungeni na kujadili kitu ambacho lazima kipite kama kilivyo!

Swali lingine nalojiuliza je kuna kifaa gani kimefungwa masikioni mwa Bi Kiroboto ambacho kinamwezesha kupima wingi wa sauti za Wabunge ili kujua waliosema ndio ni wengi kuliko waliosema Sio!

Back
Top Bottom