VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Msikubali. Mjadala wa Ripoti ya ESROW/IPTL toka kwa CAG na TAKUKURU ukianza muwe kitu kimoja. Mpambane kuiokoa Serikali. Pambaneni kwa hoja na kuhakikisha kuwa Serikali inabaki salama. Haitaleta sura nzuri kwa Serikali ya awamu ya nne kuyumbishwa mara ya nne sasa. Fanyeni kila liwezekanalo, ili haja zizidiwe na hoja.
Hakuna sababu ya kuwa na Party Caucus kwa jambo hili. Hakikisheni hajiuzulu mtu. Tumechoka.Tumechoka kubadili Mawaziri.Waliopo wabaki.Tumechoka kuonwa mafisadi karibu chama kizima. Msikubali Wabunge wetu. Pambaneni.
Off-record: Mwanangu Chabruma, tafadhali usiendelee kupotoshwa na MwanaDiwani kuhusu mimi. Nimemfunza kazi za chama mimi mwenyewe. Hana shukrani
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

unadhilisha kuwa unatetea uovu. Hufahi hata kuongoza familiya yako.msikubali. Mjadala wa ripoti ya esrow/iptl toka kwa cag na takukuru ukianza muwe kitu kimoja. Mpambane kuiokoa serikali. Pambaneni kwa hoja na kuhakikisha kuwa serikali inabaki salama. Haitaleta sura nzuri kwa serikali ya awamu ya nne kuyumbishwa mara ya nne sasa. Fanyeni kila liwezekanalo, ili haja zizidiwe na hoja.
Hakuna sababu ya kuwa na party caucus kwa jambo hili. Hakikisheni hajiuzulu mtu. Tumechoka.tumechoka kubadili mawaziri.waliopo wabaki.tumechoka kuonwa mafisadi karibu chama kizima. Msikubali wabunge wetu. Pambaneni.
Off-record: Mwanangu chabruma, tafadhali usiendelee kupotoshwa na mwanadiwani kuhusu mimi. Nimemfunza kazi za chama mimi mwenyewe. Hana shukrani
mzee tupatupa wa lumumba, dar es salaam
...wewe ni kuku?Msikubali. Mjadala wa Ripoti ya ESROW/IPTL toka kwa CAG na TAKUKURU ukianza muwe kitu kimoja. Mpambane kuiokoa Serikali. Pambaneni kwa hoja na kuhakikisha kuwa Serikali inabaki salama. Haitaleta sura nzuri kwa Serikali ya awamu ya nne kuyumbishwa mara ya nne sasa. Fanyeni kila liwezekanalo, ili haja zizidiwe na hoja.
Hakuna sababu ya kuwa na Party Caucus kwa jambo hili. Hakikisheni hajiuzulu mtu. Tumechoka.Tumechoka kubadili Mawaziri.Waliopo wabaki.Tumechoka kuonwa mafisadi karibu chama kizima. Msikubali Wabunge wetu. Pambaneni.
Off-record: Mwanangu Chabruma, tafadhali usiendelee kupotoshwa na MwanaDiwani kuhusu mimi. Nimemfunza kazi za chama mimi mwenyewe. Hana shukrani
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Nilivomwelewa Mzee Vuta Nikuvute katumia lugha ya kejeli dhidi ya wabunge wa CCM
kawasema waache unafiki walitete taifa na sio chama
pambanueni akili zenu kufikiria zaidi nje ya box
Kama pool table!!!!Pinda alisema uongo bungeni.. Kwamba zile fedha hazikuwa za serikali bali za IPTL.. Na Mhongo na Maswi pia walishikia bango bila ya kumsahau Kubwa la matumbili muraa.. CAG amethibitisha fedha ni za serikali kupitia Tanesco.. Naomba hawa kwanza waachie ngazi kwanza..
Mkuu sisi werevu tulishamuelewa kitambo. Yaani ni kinyume chake.