Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Nasisitiza tena msilalamike jamani maana ukinyimwa akili na uelewa wa kuitazama kesho yako lazima ujiandae kwa maumivu mda wowote
Kwa umoja wenu na ushirikiano wenu wa dhati kabisa mlilishana yamini, mkaikataa kwa nguvu zote katiba iliyo lenga kulikusanya taifa pamoja , katiba iliyo weka bayana nani amuwajibishe nani na kwa nini
Mliikataa wenyewe pengine leo msinge kuwa walalamikaji kiasi hicho ,hamkuifikiria kesho mliijali zaid leo , msilalamike tafadhari na wala msitupigie kelele wapiga kura wenu.
CCM OYEEEEE!
MAKONDA OYEEEE
MH. RAIS MAGUFULI OYEE!
HAPA KAZI TU OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!
Msilalamike pigeni gazi maana MZEE WARIOBA aliitwa kila aina ya majina mzee wa watu wakati wa mjadala msilalamike jamani,
Mh. Rais kaza zaid na zaid wasikuzoee hawa , waoneshe kwamba wewe ndiye rais wa awamu ya tano na hakuna kinyago cha aina yeyoye kukuchezea , wanyooshe wanyooke maana walipinda sana na kibaya zaid walipindia kushoto, warudishe kwenye msatari hawa wanyooke
HONGERA RAIS WANGU, POLE NA KAZI YA KUZINDUA UJENZI WA RELI MPYA.