Uchaguzi 2020 Wabunge wa CCM mpya ni mkakati maalum wa kubadili katiba, Paul Makonda na Alexander Mnyeti ni kishindo kikuu

Hakuna aliyetumwa.... so that's nonsense na hao wote hasa waliozaliwa 1982 watachinjiliwa mbali !!
 
Hakuna aliyetumwa.... so that's nonsense na hao wote hasa waliozaliwa 1982 watachinjiliwa mbali !!
Kama mwaka 1982 ameutaja kwa ndimi ya maji ni sawa ila kama ni kwa ndimi ya moto, tegemea ambacho hujakitarajia.

Tukumbuke Jiwe ana ndimi mbili, moja ya maji na nyingine ya moto na zote zina nena ukweli na ukweli usio mkweli.
 
Nyerere alituachia katiba mbovu kabisa. Katiba ya kumfanya mtu mmoja kuwa kama mungu mtu. 🤦‍♂️
 
Jamani Mh. Rais kasema wazi, hawezi ongeza muda, muda wake ukiisha anaondoka zake, kwanini mnamsemea maneno ya uongo, lini Mh. Rais kasema anataka kuongeza muda? Huku ni kuchafuana, acheni hizo plz
Anasema mdomoni lakini matendo ni tofauti kabisa
 
Dalili zinaonekana, mtu kama Musiba anataka kwenda bungeni kufanya nini?!

Amesifia kwenye gazeti lake ameona hiyo haitoshi sasa anataka kupeleka mapambio yake bungeni, hilo bunge lijalo linaweza kuwa la hovyo zaidi ya lile lililopita la Ndugai.
Usukumanisation?
 
Wafanye wanavyofanya watu watazoea na wakishazoea.

Hakuna watu wajinga kabisa.Vitu vyote vizuri vita perish kwa muda mfupi sana.Na hii ndio tabia kuu ya Binadamu..
 
Maswala yote yahusuyo corona na hili la kuingia uchumi wa kati kutangazwa muda mfupi kabla ya uchaguzi imekoleza sana umaarufu wa Magufuli. Magu sio level za akina Mbowe na Zitto, wapinzani msitegemee kuambulia chochote october. Magu hana nia ya kuongeza muda though personally ningetamani afanye hivyo ili atusogeze hadi uchumi wa juu if possible, nchi ilishachezewa sana hii. Kwa wavivu wote wa kujituma kazini povu litawatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…