Wabunge wa CCM kuweni macho

Wabunge wa CCM kuweni macho

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Nawashauri wabunge wa CCM kuwa macho na miswada ya Serikali

Wabunge wa CCM ndo wengi bungeni na nguvu ya kupitisha miswada ya serikali au kukataa wanayo.

Miaka 5 sio mingi, wananchi wanawatazama....Labda ukute kuna njia nyingine za kupata kura..

Wananchi (wafanyakazi, wakulima na wafanyabiashara) wanaaangalia michango ya wabunge wa CCM.

Miswada ambayo imepita na ina madhara...

A - VAT bandarini

B - VAT tourism

C - Mafuta taa kupandishwa bei (Wakulima hapa wanaumia)

D - Hakuna kuuza mazao nje (wakulima)
 
Huu MUSWADA wa FAO la Kujitoa kuondolewa ni kiama kwa Wafanyakazi

Watanzania wanaonekana ni wapole sana?

Ubabe wa Serikali utaisha lini?

Wafanyakazi kuporwa mafao yao, na wabunge wa CCM wako kimya
 
Wafanyakazi sasa ni kulalamika chini kwa chini

FAO la kujitoa NSSF na PPF hakuna

Wamekuja na FAO LA Kukosa ajira..30%

Kwa huu mfumuko wa bei 30% inatosha nini?

Serikali iache kuchezea maslahi ya wafanyakazi
 
Hebu wasaidie kufafanua unacho kielewa. Faida ya fao la kujitoa na hasara yake usipojitoa.
Unajitoa ili ufanye nini? Uzee unaujua? Hebu wasaidie tafadhali.
 
Hebu wasaidie kufafanua unacho kielewa. Faida ya fao la kujitoa na hasara yake usipojitoa.
Unajitoa ili ufanye nini? Uzee unaujua? Hebu wasaidie tafadhali.

Wewe una ahadi na Mungu kuwa utaishi mpaka ufike uzee (60 mpaka 70)?

Je umefukuzwa kazi ukiwa na miaka 35, je hiyo 30% watakayokupa inatosha mahitaji ya Familia?

Kwa Nini serikali isije na mswada wa kukopesha mwananchi angalau nusu ya akiba yake ili ajiandae (kujenga nyumba au kujiajiri)

Lengo la Serikali hapa ni kubaki na fedha za wananchi ili wakwepe kulipa deni
 
Hatuna haja ya kuwalaumu sababu tumewachagua wenyewe, tutatokwa povu hapa weee lakini 2020 wamooooo
 
Hawa jamaa hawayafanyi haya yote kwa bahati mbaya. Wanaelewa sana kwamba watanzania ni wasahaulifu sana!!!
 
Hawa jamaa hawayafanyi haya yote kwa bahati mbaya. Wanaelewa sana kwamba watanzania ni wasahaulifu sana!!!
Umeongea point kabisa mkuu. I am sickened with what is going on kwenye jamii yetu. We are the idiot moron. Yaani hatujitambui kabisa. Yaani jamii yetu ni sawa na jamii ya wendawazimu tu.
 
Ingekuwa ni nchi za watu saa hizi wafanyakazi wote wako barabarani .
 
Umeongea point kabisa mkuu. I am sickened with what is going on kwenye jamii yetu. We are the idiot moron. Yaani hatujitambui kabisa. Yaani jamii yetu ni sawa na jamii ya wendawazimu tu.
Uko sahihi 100%
 
Mmetoka nje ya mada

Rudi kwenye MaDA, FAO LA KUJITOA
Si umesema ndio wametufiksha apa.. umesahau kua tumefkiswa apa na wanafiki wanaojfanya viongoz na kuongea ktu waschomansha yaan wanaongea watu walipe kod na wawajbke il hali wao wenyewe hawafanyi hvo?
 
Back
Top Bottom