MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
We nae ni kama jipu hujielewi! Inawezekanaje Mimi mbunge wa Kisarawe nishiriki kumchagua mwenyekiti wa halmashauri ya Kisarawe ilikotokea nafasi yangu ya ubunge viti maalum, halafu kwakua naishi Ilala tena nimchague Meya wa Manispaa? Mbone haya miaka yote hayakuwepo? Huu ni upumbavu kila mtu anoshindwa anaibua ujinga.