kabila01
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 4,236
- 4,989
Naelekea moja kwa moja kwenye Mara
Hotuba ya Raisi JPM wakati akifuta kikokotoo aligusia kuhusu fao la kujitoa. Akatolea mfano wa wafanyakazi wanaoshiriki mradi wa Ujenzi ambao unadumu kwa miaka mitatu tu baada ya hapo mkandarasi anaondoka. Akasema sio fair kumwambia mtu aliyefanya kazi hiyo akiwa na miaka 32 asubiri mpaka atakapofikisha miaka 60 ndo apewe pesa zake. Kwa sasa hii mifuko ya hifadhi ya jamii bado imeshikilia misimamo yao ile ile hakuna fao la kujitoa. Wabunge tusaidieni kuuliza ili waziri atoe ufafanuzi kama anapingana na maagizo ya mkuu wa nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app