Wabunge Simba vs Wabunge Yanga

Wabunge Simba vs Wabunge Yanga

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
11,059
Reaction score
10,518
Wakuu AZAM TV Katika Tamasha la Matumaini.
Ipo Live katika Mechi ya Wabunge wa Simba na wabunge wa Yanga.
Mpaka Sasa Yanga inaongoza Bao moja kwa Pasi murua kutoka kwa Mwigulu Nchema na mwenzi kumalizia.Huku Iddi Azan ambae ni kipa akiwa hana la kufanya
 
Yanga 1- Simba 0, bado kipindi cha kwanza.ila ni comedy! Kuna mafyongo, ila baadhi ya wabunge wana akili ya mpira kama Aboud Aziz sijui wa simba na huyu kumi na moja wa yanga, sijui jina lake. Ila komedy imejaa!
 
Azam two ni channel. 102 ngoja nimuangalie selemu itv jiji letu akimaliza ndio ni swich on.
 
Majinga haya bahada ya mwenda kujadiri katika yanaenda kucheza mpira
 
Azam two ni channel. 102 ngoja nimuangalie selemu itv jiji letu akimaliza ndio ni swich on.

Mkuu, inanekana toto hili nawe linakukonga moyo eee!! Ila sisi "walokole" tunasema, anatubarki sana!!!
 
wamecheza dk 30 kipindi kimoja, sijui kama kipindi cha pili kipo
 
Majinga haya bahada ya mwenda kujadiri katika yanaenda kucheza mpira
Unapomjadili mwezio kwa ubaya kwanza jiangalie wewe. Wao waende kujadili nini,au hujui kila kitu kina muda wake. Mie ningekushauri kwanza ungeenda shule ya kiswahili halafu ndio useme wenzio.Siku hizi kuna Elim ya watu wazima tena buree
 
Unapomjadili mwezio kwa ubaya kwanza jiangalie wewe. Wao waende kujadili nini,au hujui kila kitu kina muda wake. Mie ningekushauri kwanza ungeenda shule ya kiswahili halafu ndio useme wenzio.Siku hizi kuna Elim ya watu wazima tena buree
nawewe mpuuzi sana we unafikili yana nini kule amna lolote la maana sisi watanzania hatuitaki tena iyo katiba yaludi tu heti simba na yanga kama mapuuzi vileeee yaani yananibohaaaa kama niwatume al shaababu vile
 
Wabunge wote wapo,hii ni umoja sio issue za siasa.
Na nimependa maana hawana yale mambo ya kusema kwamba mie chama fulani basi rangi fulani.
Kuna wabunge kibao wa Upinzani wamechezea yanga na kuna wabunge kibao wa CCM wamechezea Simba.
Ilikuwa mechi nzuri kwa hadhi yake.

Kipindi cha Pili cha Mehci ya Wabunge ndio kinaanza.
Wanacheza Dk 60 tu,tutaendelea kuwapa matokeo

Msisahau kwamba TBC ni AZAM na Rayon Sport wenyeji.Mpaka sasa ni bila kwa bila na ni Half time
 
Watamaliza dakika zote 90?

Au watapunguza kutokana na kutokuwa na mazoezi
 
Goalllllllll
mbunge wa Zanzibar amewapatia Simba Goal kwa penat Safi Sana left shooter
 
Goalllllllllllll
Yanga Bao la pili,Kona safi ya imeingia moja kwa moja golini.
Kipa wa Simba Iddi Azan imepotea maboya na kugusa mpira juu na kuingia golini kwake
 
Back
Top Bottom