mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,255
Wabunge ni miongoni mwa watu wanaoutumia sana mtandao wa Jamii forum, hivyo nimeona kupitia thread hii ni raisi kwa Wabunge kusoma yale yanayoendelea na kusemwa juu yao.
Ukipita mitaani,sokoni , maofisini,kwenye dalala na hata kwnye vijiwe vya kahawa,utakuta wananchi wanatoa maoni mbalimbali juu ya Mbunge wa Jimbo husika.
Mtakubaliana na mm kwamba ni mara nyingi au mara zote yanayojadiliwa huwa hayawafikii wahusika.
Kama wananchi tutumie fursa hii kuwafikishia yale tunayoyazungumza juu yao kwnye Majimbo yetu..
Maongezi ya kwenye mikutano yetu ya vijiji,maongezi ya vijiwe , tathimini kutoka kwnye familia zetu na hata maoni binafsi, yoote tuwafikishie hapa.
Tuwape wabunge njia nyepesi ya kugundua ni nn kinaendelea Majimboni, mahitaji ya wananchi kwenye majimbo husika na pia lipi linalowakera wapiga kura kutoka kwako kama Mbunge.
Najua Wabunge wengi watapita na baadhi wenye kuthubutu watajibu.
TUWAAMBIE/TUWASEME ILI KUWASAIDIA KUA VIONGOZI BORA.
KARIBUNI.