Wabunge Nyota!

Tundu Lissu namba one. Anajua sheria ni mjasiri hana chenga.mguu anaita mguu sio kikanyagio. JM mmmhhh!
 
Ni kweli muongeze Lisu, nakubaliana na hao uliowataja.

Makamba?Sidhani kama anaweza kuwa katika orodha nyota alisikika nje ya Bunge kwenye kutetea Dowans na aliposimama Bunge ni pale alipotaka kupotosha kanuni za Bunge kuhusu lugha ya kuwahoji wagombea hadi Membe alipookoa jahazi.

Analysis yako kuhusu Mnyika pia ni wrong mtu anaweza kudhani labda ulitumia magazeti zaidi na si kuangalia moja kwa moja. Mnyika aliihenyesha sana Serikali hasa siku ya kupitisha muswada wa EPZ na alifanya interventions nyingi katika masuala ya maji, madini na uwekezaji, aliomba hata kuwasilisha hoja binafsi au maelezo binafsi mara kadhaa lakini sauti yake ikibinywa...Lissu ni mashine nyingine kama hukumuona basi futa thesis yako uanze upya
 

Mr. Mak, sasa naamini jumla kwamba michango yako humu imejaa chuki binafsi. Kama kweli umekuwa unafuatilia bunge huwezi kudharau au kubeza mchango mkubwa wa John Mnyika. Wananchi wa Ubungo na Tanzania kwa ujumla wamempata mbunge sahihi. Mwanasheria mkuu wa serikali Werema alikili wazi mchango wa Mnyika na alipokea marekebisho yake bila ubishi wakati wanajadili mswada wa wafamasia. Bravo Mnyika keep it up.
 
MwanaFalsafa1

Kosa ulilofanya ni kutuletea majina bila sababu sitaki kuamini hizo juu ndizo sababu za wewe kuwaona nyota kama ndizo basi utakuwa na walakini hata kama ni maoni yako, huwezi kusema huyu kafanya makeke sana ikawa sababu ya kumuona nyota, kwa mfano unaweza kusema namuona Lissu nyota kutokana na hoja yake ya mahakama kutoingiliwa kisiasa au January aliposema Kiswahili kitumike kwa vile kinatumika kimataifa hizo ndizo nilitegemea utumwagie halafu tuchambue ipi hoja yenye mshiko.
 
Mkuu hii hoja yako ina GAMBA, pia haiendani na kichwa cha hoja unawaponda hao wabunge nyoto kwa mujibu wako sasa wanakuwaje nyoto,
Harafu ukaweka na MAKAMBA ndani, hata wewe unaandika huku unajishuku kwamba watu watakugomea, kwa nini unajipa stress kwa kutetea uozo? huyo Dogo ana uchama na Udini ya uchama iko wazi ya udi kachimbe twitter zake juu ya LIBYA NA NATO, au babu ambilikile, huyo sio nyoto,
ana makundi furani wanamuita rais mtalajiwa wa 2020 hilo ni gamba jingine, kwanza nashindwa kuelewa kwa nini 2020 wakati kuna uchaguzi 2015, au ndio anakusanya mtaji wa kununua urais 2020?
 
Huwezi kutaja wabunge nyota bila kutaja jina la Tundu Lissu. Huyu bwana uwezo wake wake wa kujenga hoja ni sawa na ule wabunge 100 kutoka CCM.
 
ORODHA YA WABUNGE WANAOONGOZA KWA KUUCHAPA USINGIZI BUNGENI MPAKA UDENDA UNAMWAGIKA:...
1. CAP: JOHN KOMBA
2.......

Enhe tuendelee wadau
 
Umeua hoja yako kwa kutomtaja Tundu Lissue. Celina knows that Lissu is another animal and he will always continue to be another animal. Inawezekana mtoa hoja ulitaka umfiche January Makamba katikati ya orodha yako. Lakini je, utawezaji kumpachika Makamba kwenye orodha ambayo Godbles Lema hayupo!!! Mmhh hapo kwa kweli umetuchanganya na ndiyo maana baadhi tunahisi una agenda ya siri.
 
Kumbe siku hizi ubunge ni kwenda kubwabwaja bungeni? ndio nimelijuwa leo hili humu JF.
 
Tundu Lissu umemwacha wapi?huyu bwana nio kaa la moto mazee hata wavua magamba wanalielewa hilo.
 
<br />
<br />


Mkuu,Inawezekanaje ukawa Umefanya Oversight ya kutomtaja Mheshimiwa TUNDU ANTIPACE LISSU,LISSU NI MASHINE AMBAYO IMEJIPAMBANUA WAZI NDIYO MAANA HATA JAKAYA ANAMGWAYA! Siamini kwamba haujaliona hilo,something isnt right here!!

Kuhusu Mbowe,Mbowe anaongoza Timu ya Watu Mahiri kupindukia ndiyo maana kuongea na hoja wanazozitoa Vijana wake kunau-preempty!! Ukiwa mtu unaongoza kambi ya watu vilaza utajikuta unalazimika kuongea sana,Mbowe anaongoza kambi ya watu with fine brains,hana haja ya kupiga kelele nyingi!!

Hata siku ya mwisho ya Bunge lililopita(kama uliaangalia) bungeni,aliipaza sana sauti yake bungeni wakati wanajadili Budgeti ya Mahakama,he was very informed,rhetoric,patriotic and eloquent,need i say more!!

Mbowe is Great,ndiye mwenyekiti wa Chama kinachoinyima Ccm usingizi,lazima ana mkono mrefu katika kuifanya Chadema iwe hivyo ilivyo leo!!!

Ni matusi Kumfananisha Mbowe na ndugu Hamadi ambaye anaongozwa na Tumbo na ndiyo maana alifanya kila hila kutaka kupindishwa kwa kanuni za Bunge ili iundwe kambi ndogo ya Upinzani ili yeye awe kiongozi wake apate Benefits zake!!!

Nawaza tu kwa sauti kuu!!!
 
Wewe usidandie treni kwa mbele ivi hoja ya ufisadi na wewe umeianza lini? siamini Kibaraka wa mafisadi kama wewe iti kuzungumzia mafisad!! hivi ndo kusema umejivua gamba au unaigiza?
 
Umemsahau Mh. Makinda - anajitahidi sana kulinda chama chake kisiabishwe na wabunge wa upinzani... Amefanikiwa kumkingia kifua Waziri Mkuu pindi alipokamatwa akilidanganya bunge...
 
duuuu, please kabla ya kupost thread jitahidi kujionezea ufahamu kidogo, otherwise huo uwe ni mtizamo wako kwa bunge la benin au mali lakini sio tanzania. umemtaja zitto na mdee kwa unafiki tu. huitaji kuwa na elimu ya form four kujua kama tundu lissu ndo alikuwa kinara wa bunge lililopita,ukitaka kuthibitisha muulize pinda,makinda, sitta, werema na kombani.
 

Wewe nawe hata sikuelewi cku hizi! Mbona hutulii? Una ugomvi binafsi? Usije ukaleta ya akina Jaffaria tena&#1548;
 
Ahh!,jamani prp za Msekwa jamani
 
Ameona hafagiliwi hapa janvini akaamua kujifagilia mwenyewe, hongera

Nakusoma!, hawa watu wengine hata cjui ni WaTz au? Tutajua pumba na mchele kila kukicha, tusiishie tu huku Jf tujitahidi kila mtu kumwelimisha mwenzake mtaani. Mwfisadi wanatumaliza tusiposhtuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…