Tulisikia wakati wa kampeni raisi akiongea kwa machungu vitu tunavyoagiza nje, hotuba ya wizara sina uhakika kama inaonekana kuonyesha mwelekeo wa kutatua tatizo hili.
hotuba zetu zimejikita katika utaalamu wa kuandaa hotuba zaidi ya utaalamu wa kupanga. tumezoea bunge letu kuletewa habari ambazo hazionyeshi kama wanayoyawaza yatatimia na wao kuchangia kwa kila mmoja kutaja jambo lake analoliwaza.
mimi nadhani kuna haja ya wizara hii ya viwanda kuweka bayana ni tatizo gani limesababisha nchi yetu kuagiza bidhaa ambazo tunaziona kero kiuchumi.
wizara hii ianishe matatizo haya ambayo yako chini yao na ambayo yako nje yao kwa maana ya wizara nyingine.
itueleze ili tuweze kuzalisha tunahitaji kufanya nini? na katika mwaka wa 2016/2017 wizara inalenga katika sekita zipi kugeuza urali wa biashara kutoka kununua bidhaa nje kufikia kununua mashine za kuzalishia tu.
katika kufanya hayo wao watafanya mambo yapi?
mfano
1. sekita ya mavazi kuanzia nguo, mikanda, viatu, mabegi, serikali inaweza kumulika sekita hii na kuangalia vikwazo kuanzia kodi, mitaji, na mengine na kubadilisha urali.
2. Sekita ya thamani
3. sekita ya vifaa vya ujenzi kama finishing, umeme
4. sekita ya vinywaji kutoka kunywa soda, juisi za kemikali na kuanza kunywa maziwa kutoka kwa wafugaji wetu na juisi za matunda kutoka kwa wakulima wetu
5. kila mwaka kuuza nje chakula chote kwenye magala yetu cha miaka miwili iliyopita na kunua kingine kwa wakulima kujazi. yaani kwenye maghala tunahifadhi chakula cha miaka miwili, tunapokuwa na uhakika wa mavuno ya mwaka wa tatu basi kile cha mwaka wa kwanza tunauza nje na kuanza kununua chakula cha mwaka wa tatu kujaza maghala.
6.kudhibiti vifaa vya electronics kama simu, fiji, tv, vifaa vya nyumbani vije kwa mahitaji yetu.
7.kubadilisha magari yetu yaanze kutumia gesi yetu ili tuokoe fedha tunayoitoa kununua mafuta nje
8. sekita ya vito vya thamani tunawezaje kuongeza mauzo nje
9.
10.
yaani wizara na bunge wakubaliane target yetu tunachotaka kufanya ni kitu gani.
sio kutoa insha kama za madarasani zisizo na kwimu sahihi. hotuba zetu hata wanafunzi mashuleni wanaweza kuziandika na mwisho wa mwaka ni vigumu kumpima aliyepewa dhamana kama katimiza au la maana muundo wa SIDO unaweza kubadilishwa lakini output zikabaki palepale. kama tunakubaliana tunataka kupunguza bidhaa kero kwa asilimia 40 mwaka huu, yes tueleze kutekeleza hayo utafanya nini lakini sisi tunachotaka mwisho wa mwaka ni 40% ya bidhaa uzalishaji umetoka nje na kuhamia ndani?
kama tunasema tunataka kuoongeza mauzo ya mazao ya kilimo nje kwa asilimia 30. hapa hata gala likinunua mazao haya kwa kumpa mkulima shilingi 1000 na nje tunauza kwa mia sita bado hakuna hasara maana tunachokiangalia ni inputs za kwenye kilimo za kutoka nje kwa kilo ni pungufu ya mia sita na sisi tunauza nje kwa mia sita tunapata faida na 400 ni kama subsidi ya serikali ili kumuwezesha mkulima azalishe kwa faida kumudu gharama za maisha. tutafute mbinu zozote za kuongeza mauzo ya kilimo nje kwa kujua tunashindana na wakulima wengine.
kama tunasema tunataka kupunguza manunuzi ya mafuta ya petroli na dizeli nje kwa asilimia 30 mwisho wa mwaka tunamuuliza mhusika umefika wapi.
lakini Tukiwa na taasisi ya kuthibiti na kusimamia uchumi, yenyewe ingekuwa inafanya tafiti na kuwawekea hawa mawaziri target kwa kuangalia uchumi wetu ulivyo kwa wakati husika, kuangalia fursa zilizopo na kuweka target kwa kila mmoja afike wapi.
lakini kama hatuna chombo hicho na kila mmoja anajipangia bunge litusaidie kuwabana hawa wakubaliane target ni ipi. sio mambo ya kuletewa orodha ya taasisi zilizopo katika wizara na aahadi ya tutazirekebisha hizo taasisi then tunasema ndio mpango. hapo tunacheza kamali hatujui tunataka kufika wapi tunasubiri mwaka uishe ndio waje kutueleza wamefika wapi. kwa mfumo huo ukiwa na mlolongo wa watu kama wizara zilivyo na wadau walioko nje ya wizara kama nyote hamna jambo moja mnaloliangalia kuachieve itakuwa vigumu kupata mafanikio makubwa tunayoyatarajia.