Wabunge kujadili NSSF kesho

Wabunge kujadili NSSF kesho

magwanda

Member
Joined
Jun 7, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Wana JF kuna tetesi kuwa wabunge watajadili kuhusu sheria ya mifuko ya jamii kesho. please mwenye kujua ni lini watajadili tujuze
 
Kwa nini usithibitishe hiyo tetesi kutoka katika hicho chanzo chako?
 
Hakuna cha kujadili, nimemsikia naibu anasema wamalize jioni swala la Africa Mashariki na kesho wapumzike.
Nashangaa kwa nini mwongozo wa Mnyika wasijadili kesho. hili taifa linaenda wapi?
 
wajadili kwani linawaadhiri?pia halina maslahi kwao.
 
Wana JF kuna tetesi kuwa wabunge watajadili kuhusu sheria ya mifuko ya jamii kesho. please mwenye kujua ni lini watajadili tujuze

Kama watajadili tunawatakia kila la heri na tuna mashaka na umakini wao kwa kuwa walipitisha bila kujua
athari kwa wapiga kura wao.
 
Hakuna cha kujadili, nimemsikia naibu anasema wamalize jioni swala la Africa Mashariki na kesho wapumzike.
Nashangaa kwa nini mwongozo wa Mnyika wasijadili kesho. hili taifa linaenda wapi?

Wapumzike kwa kazi gani?? au wanataka siku zindelee kuongezeka na posho nayo iongezeke.. hawajui hizo ni kodi zetu wanaendelea kutafuna huku sisi tunataabika.
 
Mjadala wao sijui kama utakuwa na tija yoyote maana Serikali imeshatafuna pesa zote za Wafanyakazi na kama alivyosema CAG NSSF inakaribia kufilisika....Na "serikali haina uwezo" wa kurudisha mabilioni ya pesa za Wafanyakazi ilizozikopa toka NSSF.
 
Wapumzike kwa kazi gani?? au wanataka siku zindelee kuongezeka na posho nayo iongezeke.. hawajui hizo ni kodi zetu wanaendelea kutafuna huku sisi tunataabika.

Bila aibu wamekomba hazina nyeupe, sasa wamegeukia mafao yetu kwa kutulazimisha miaka 55 kwa faida zao na familia zao.
 
Back
Top Bottom