Wabunge: Kafulila, Zitto na Silinde wako wapi?

Welu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
852
301
Anaejua lolote juu ya hao anifahamishe. Muda sijawasikia bungeni. Anaejua ukimya wao anifahamishe.
 
Zitto nimekuwa nikiona anatuma picha facebook na twitter kuwa yuko Afrika Kusini kwa ziara ya kikazi. Pia kuna taarifa (nilizozipata-rasmi) kuwa Silinde yuko nchini China kwa ziara ya kikazi pia, ya siku zisizopungua kumi, tangu tarh 30 Juni mwaka huu. Kafulila sifahamu.
 
Kafulila kwa mujibu wa mtandao wa kichawi yupo kwao kigoma kaenda kutambika kuhusu sekeseke la kuvuliwa uanachama
 
Kafulila kwa mujibu wa mtandao wa kichawi yupo kwao kigoma kaenda kutambika kuhusu sekeseke la kuvuliwa uanachama

Na kwafaida tu ukitaka kupata more inflo chukua jina kafulila nenda kwenye google search utapata taarifa zake
 
Back
Top Bottom