Wabunge hawa wakirudi bungeni 2020 naacha siasa

Hao ndio wabunge wanaotakiwa warudi kwa wingi ili wasaidie Binge kuwa imara lisaidie wananchi. Udhaifu wa bunge haujatokea na hawa Bali na Spika mwenyewe na wabunge wa ndiooo kwa kila kitu.
 
Yaaani mnasema mnashinda ila chaguzi huru mnaogopa nyie ni wepesi kama tissue
 
utukufu mwanjisi acha unazi kwenye tafiti, utafiti wako sio chanya kwa maana ya kwamba umeegemea kwenye mlengo mmoja wa chama cha siasa. Pengine upofu wa kutokuwa chanya ndio sababu hasa ya kukufanya utoe maelezo marefu yenye hisia na mihemko binafsi as the reality is hidden from your visioning. Utukufu jaribu kuwa Chanya.
 
Twende na Nd. Membe, Bi dada akili zitakurudi na udhaifu utaondoka..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa shule ndo imelala ko hizo kazi za shamba boy unaweza wachek vijana huko shinyanga au dodoma utawapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hizo pesa za majimbo, anapewa Mbunge binafsi au zinakuwa chini ya wilaya/Halmashauri husika?
Nani ana mamlaka ya kuzipangia matumizi?
 
Huko nako tumepitia lakin mheshimiwa ndugai kajitahid sana ingawa kwa kazi kubwa aliyofanya anatakiwa apumzike ale heshima zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaaaaa,wana kongwa hoi taabani!Hayo majimbo uliyotaja yote yako juu ya kongwa!
Halafu kwa miradi mikubwa majimboni,serikali yapaswa kubeba lawama na si wabunge!Maana mfuko wa mbunge ni vijisenti kiduchu tu!Mwenye fuko kuu ni serikali!Tunakosa vipaumbele,uwanja wa ndege Chato hauna economic impact yeyote lakini umetafuna mabilioni ya fedha!Hizo fedha zingejenga shule ngapi?Ndege moja ya bil 200+ ingechimba visima vingapi vya maji?Mpaka mje kutuchangisha kwa mabavu huku mnatumia fedha hovyo hovyo???
Mchango sh 5000 au kuitumikia serikali siku 14! - JamiiForums
 
Fala sana wewe, jimbo gani la CCM lina maendeleo yoyote? Nenda manyoni, chamwino, shinyanga, tabora n.k uone mavimavi yaliyoko huko.
.
Siku nikiokota SR nawauwa wote nyie
 
Kwanini wawe wa mlengo 1 tu??
Hata hivyo, mmeshindwa kuwa nunua kama mlivyofanya kwa wale wengine mliofanikiwa. Naona sasa mnawasubiria 2020 ktk goli la mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…