Naunga mkono hoja. Regia Mtema hapaswi kwenda kwenye maandamano amani ya akina Mbowe na Slaa kama mbunge viti maalum wa Chadema mwenye akili.
Alipaswa aende Banki kuu kutafuta fungu lilibakizwa na wezi wa EPA ili naye apate kidogo ailete chadema. Mimi kwenye baraza kuu nitamsifu sana. Akikosa aanzishe kampuni hewa ya pamba ili aombe stimulus package ile iliyoibuliwa karibuni na Zitto kabwe. Au ????
Maana maandamano hayana tija, ila EPA, RICHMOND, STIMULUS PACKAGE, na KATIBA YETU ya sasa vina tija sana.