Wabunge hawa wa CHADEMA

Wabunge hawa wa CHADEMA

Kuna baadhi ya watu hapa hawapendi mijadala ya wazi hasa inayo husu watu/issues za chama wanavyo vipenda,hii haiwezi kua sawa hata kidogo, hili ni jukwaa huru lenye mijadala huru pia.
Tupende kujadili hata yale ambayo yanagusa mapenzi ya nafsi zetu. tuongozwe na uzalendo katika mijadala kwa hoja zenye mashiko kuliko matusi na kashfa...
Tuache phobiasis kwa baadhi ya hoja,tu ache ushabiki shabiki usio na tija kwetu wala kwa vizazi vyetu.

Wabunge hao uliowataja wamefanya mazuri kwa Taifa sio jimbo tu maana tunawapongeza wale waliowachagua kwa manufaa ya Taifa letu.
 
wa ndima.
NI kweli,may you please cite area of their excellency,ni vizuri uka mchambua m1 m1 sababu perfomance haziwezi lingana
 
Huyo Mbowe na Lema wamefanikiwa kugeuza ile MA kwenye neno CHADEMA kuwa Maandamano badala ya Maendeleo
 
Huyo Mbowe na Lema wamefanikiwa kugeuza ile MA kwenye neno CHADEMA kuwa Maandamano badala ya Maendeleo
mjadala wa thread hii ni ju ya perfomance ya Wabunge wa chadema katika majimbo na taifa kwa ujumla...please usihamishe mjadala kwa ku wa provoke watu humu ndani
 
Wamefanya kazi kubwa wote uliowataja kwa ujumla wao,
wanaongea na kutetea yale mtanzania wa kawaida anayataka na kutamani yawe pia
Muda mwingi wako active ndani na nje ya bunge, hata kwenye majimbo yao
Hawaungi mkono hoja asilimia 100 huku wakilalamika kama wa kwetu
Utendaji wao umefanya pia wawe maarufu ktk jamii ya waTZ
Mengine fuatilia mwenyewe kwenye hansard za bunge na majimboni kwao
haya ni maoni yangu kwa jambo lako ndugu
 
Huyo Regia yeye kila kukicha kiguu na njia kwenye Maandamano yasiokuwa na tija kwa taifa

Naunga mkono hoja. Regia Mtema hapaswi kwenda kwenye maandamano amani ya akina Mbowe na Slaa kama mbunge viti maalum wa Chadema mwenye akili.

Alipaswa aende Banki kuu kutafuta fungu lilibakizwa na wezi wa EPA ili naye apate kidogo ailete chadema. Mimi kwenye baraza kuu nitamsifu sana. Akikosa aanzishe kampuni hewa ya pamba ili aombe stimulus package ile iliyoibuliwa karibuni na Zitto kabwe. Au ????

Maana maandamano hayana tija, ila EPA, RICHMOND, STIMULUS PACKAGE, na KATIBA YETU ya sasa vina tija sana.
 
sija kuelewa vizuri mwenyekiti,kwani kinyume cha maandamano ni EPE,RICHMOND..etc? kama vile una taka kumaanisha usipo fanya maandamano basi upo linked na EPA,na stimulus package?
nisaidie ndugu katika hili
 
Back
Top Bottom