ndugu yangu.siku sema hawa kufanya kitu chochote kama ambavyo sikusema wamefanya chochote,nimeweka mjadala wa wazi,ili watu kuwajadili wabunge hawa kwa utendaji kazi wao na kasi yao katika kutimiza majukuu kwa kuzingatia majukumu yao kikatiba...kuhusu wabunge wa ccm na ufadhili ni mjadala mwingine na unajadilika kabisa,ila kwa leo lets focus on this mps...
Pia naomba tutofautishe uwezo mkubwa wa kuongea na uwezo wa kutenda kazi,mara nyingi vinatuchanganya hasa mtu anapo kua anaweza kujieleza sana tuna sahau kujadili uwezo wa kiutendaji.
​
n
dg yangu fringe unanipa wasiwasi kama kweli unajua wajibu wa mbunge kwa jimbo lake na taifa.
kama kweli unasikiliza bunge basi hao uliowataja wametimiza bila shaka wajibu wao kwa taifa na kwa majimbo yao. Kazi ya mbuge ni kuwakilisha wananchi waliomchagua na sio vinginevyo. Kumekuja utapeli wa wagombea wa ccm kujifanya wao nifadhali wa wanachi. Na ndio maana wanapo omba kura wanatoa ahadi za nitajenga... Nitatoa hiki. Matokeo yake wanaanza kukimbilia posho zisizo na tija. Unachopaswa kujua ni kwamba maendeleo yote ya nchi hii yanapaswa kuletwa na serikali iliyoko madarakana na wabunge kazi yao ni kusimamia serikali na kupelaka kilio cha wananchi kwenye serikali ili serikali iwajibike. Maana walipa kodi wakubwa ni wananchi na wana paswa kupelekewa maendeleo na serikali inayo chuka kodi yao.
Nitashangaaa kama huaona mchango wa uliowataja.
Swali lingekuwa '' nini jk, pinda na serikali yao wamewataendea watanzania? Kwa kuwa amekusanya kodi za wananchi na bado wanawatapeli maendeleo.