Huyo Regia yeye kila kukicha kiguu na njia kwenye Maandamano yasiokuwa na tija kwa taifaAs far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?. zittoMboweRegiaLemaMsigwa,peterkwa leo tuanze na hawa objectively.hii inatoa changamoto na feed back toka kwa wananchi,kwa kiasi gani wa bunge hawa wametimiza wajibu wao wa ki bunge.
As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?.
zitto
Mbowe
Regia
Lema
Msigwa,peter
kwa leo tuanze na hawa objectively.
hii inatoa changamoto na feed back toka kwa wananchi,kwa kiasi gani wa bunge hawa wametimiza wajibu wao wa ki bunge.
Tafakari kabla ya kuleta thread kama hii jamvini,utafikiri huna ufahamu kabisa.As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?. zittoMboweRegiaLemaMsigwa,peterkwa leo tuanze na hawa objectively.hii inatoa changamoto na feed back toka kwa wananchi,kwa kiasi gani wa bunge hawa wametimiza wajibu wao wa ki bunge.
Labda tuanze na wafuatao kwanza:
JK
NAPE
NGELEJA
TYSON
MWANJELWA
PINDA!
Wengine tutafuatia taratibu!
K.u.s.o.domaiziwa bwana, kuna haribu akili! Ona ulivyo sasa!As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?. zittoMboweRegiaLemaMsigwa,peterkwa leo tuanze na hawa objectively.hii inatoa changamoto na feed back toka kwa wananchi,kwa kiasi gani wa bunge hawa wametimiza wajibu wao wa ki bunge.
Ninaamini JF ina member wengi sana tena toka kila sehem ya Tanzania,so still its wise kuuliza kupitia forum hii,lakini pia ni nimeuliiza tija zao kitaifa kitu ambacho kinajadiliwa na kila mtanzania pasipo kujali anatoka jimbo gani... makatibu; kuepusha biasses, ktk hili siwezi kuwaauliza.Unataka kujua walichofanya wapi' bungeni au kwenye majimbo yao? Kama ni bungeni na Nchi kwa ujumla ulipaswa ujue kwakuwafuatilia wanachoongea na kutenda siyo kuiuliza JF,Kama ni kwenye majimbo yao waulize directly wananchi wao siyo sis tuanze kujadi au kama vyp omba namba ya makatibu wao uwaulize.!
ndugu mtemiwao; ni hoja safi na inajadilika, ila me kwa leo nimeamua kuanza na hii wapo watakao weka hiyo post na tutaijadili pia..tujikite kwenye mjadalaTuwaulize wale wanaolala bungeni wakiamka ni kuunga hoja 100% na kugonga meza kama wehu,au wale wa magamba viti maalum kazi yao vigelegele wamefanyia nn taifa?
Unastahili hilo.ndugu mzizi wa mbuyu.unadhani kashfa na matusi yana tija gani katika hoja zako? be smart ndugu unapo hit keyboard yako
Umetumia kigezo kuwataja? naona umeingia JF na kizebuzebu kweli
kigezo nilicho tumia wote 1. wabunge,2.wana toka chadema,3.jinsia 4.mikoa 5.ni maarufu,so wana julikana kwa watu wengi...Umetumia kigezo kuwataja? naona umeingia JF na kizebuzebu kweli
hebu justify,tusiwe narrowed mind,hivi ina hitajika kutumwa na Nape kuwajadili wabunge wa chadema? so tuna po jadili wa bunge wa chama cha Nape hua tumetumwa kumbe eehh?sikujua. Wa tz tubadilike hivi tumelogwa na nani? why can we free our mind out of box? sio kila mtu anapo tofautiana na wewe lazima awe ametumwa acha kukurupuka mkuudada huyo ni mzoefu tu, inawezekana ni ID nyingine. kazi za vijana wa nape.
siku stahili hata hilo.wewe mwenyewe hata katika moyo wako unajua hivyo, ingawa vidole vyako kwenye keyboard vina usaliti moyo.Unastahili hilo.