Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
Umemsahau Profesa Ana Tibaijuka, aliyejiita jembe la JK, lakini cha ajabu JK mwenyewe kaliona hilo jembe limekuwa 'butu' na ameamua kulitelekeza!
 
Hata Kikwete naye kwa kiti cha Uraisi.... Afadhari...
 
Masahihisho no 14 anaitwa Livingstone Lusinde aka kibajaj na siyo Job Lusinde, mzee wetu muadilifu sana ambaye ni miongoni ya wazee wanaCCM wachache sana waliofuata nyayo za Mwalimu Nyerere, za kikwelikweli.
 
Asante mkuu nimerekebisha.
 
... Peter Serugamba Kgm Mjini, Obama Ntibaliba Manyovu. Eng Chiza Kibondo Na Jamaa Wa Ngara Nao Pia Hawarudi
 
sumbawanga!! AISHI HIRARY , anang'oka mapema sana na rafiki yake MALOCHA!
 
... Peter Serugamba Kgm Mjini, Obama Ntibaliba Manyovu. Eng Chiza Kibondo Na Jamaa Wa Ngara Nao Pia Hawarudi
Sahihisho, mbunge wa Kigoma mjini anaitwa Peter Serukamba na siyo Peter Serugamba.
 
Sahihisho, mbunge wa Kigoma mjini anaitwa Peter Serukamba na siyo Peter Serugamba.

... Hahahahaa, Ni Sawa Tu Mkuu Nilivyoiandika. Sema Katika Matamshi Ile G Inasomeka K
 
mbunge wa geita mjini pia,dalili ishaonekana uchaguz huu mdogo ulopta
 
Mnasumbuka bure!
mwenye kuwaondoa hao bado hajatokea jimboni!
kazaneni kuelimisha watu umhimu wa kupiga kura na sifa za mgombea, kutaja majina ya watu hapa haisaidii ila unawasaidia wajipange kuchukua majimbo ki ulaini!!
ila mbunge wangu mimi umemaja hapo hata shelewi umetumia kigezo kipi!!
 
Umemsahau mbunge wangu Ole Medeye, huyu hata akipita bila kupingwa harudi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…