na ndo maana wanauojua kusoma alama za nyakati wanajua Chadema kitapoteza viti vyote vya ubunge kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2015
christopher kiindesiye kocha mpya mlandege fcUnafanana sana na avatar yako
Nina mtenda kazi(mbwa) ambae kama kawaida yao wao hutii mabwana zao bila kujali kama ni fisadi au mwema mradi anapewa chakula! Nafurahi kukufananisha na huyo mtenda kazi wangu jinsi unavyojinasibu na mashaitwan wa kijani nina hakika wewe ni mtenda kazi wao! Hongera kwa kujitambua!NDUgu zanguni,
Nimegundua kuwa kila kukicha Hawa makamanda WA Chadema wamekuwa wakifanya upuuzi WA kila aina ili wakamatwe halafu wawe gumzo mitaani.
Ningependa kuwashauri waheshimiwa sana makamanda,
Hebu fanyeni kazi za kulijenga taifa, huko jela mnamaliza vya kula vya wanaostahili kuwa huko,
Au ile harufu ya lupango Kwenu Ni manukato.
Cc, Sugu, Lema na wengineo wapenda misifa....
JITAMBUE!
Ina maana Sugu ndio anaitwa hivyo?Nina mtenda kazi(mbwa) ambae kama kawaida yao wao hutii mabwana zao bila kujali kama ni fisadi au mwema mradi anapewa chakula! Nafurahi kukufananisha na huyo mtenda kazi wangu jinsi unavyojinasibu na mashaitwan wa kijani nina hakika wewe ni mtenda kazi wao! Hongera kwa kujitambua!