Mmmmmh....si kweli kuwa wamerogwa ila ni mazumbukukuUTASIKIA HIVI : mbunge ansema hivi Naipongeza serikali kwa kazi nzuri iliyofanya ( mh spika )kuna watu leo wanabeza maendeleo kwa kutafuta umaarufu ; Kisha utamsikia ( Mh spika ) jimboni kwangu hakuna dawa kwenye hospitali , barabara mbovu , hakuna walimu na nyumba zao pia hamna ajira kwa vijana imekuwa tabu kupata ajira na mengine mengi . SASA HAWA WAMECHANGANYIKIWA AKILI AU ??
Mara nyingi nnapofuatilia hoja zinazotolewa na wabunge wa ccm bungeni huwa nahisi dhamira zao haziendani na wanachokisema. Hawa wabunge wapo bungeni kutetea upupu wa serikari ya magamba.WANAFIKI WAKUBWA HAO WABUNGE........................ NA hao wananchi WANAORUDIA KUWACHAGUA NI WANAFIKI MARA MIA!
UTASIKIA HIVI : mbunge ansema hivi Naipongeza serikali kwa kazi nzuri iliyofanya ( mh spika )kuna watu leo wanabeza maendeleo kwa kutafuta umaarufu ; Kisha utamsikia ( Mh spika ) jimboni kwangu hakuna dawa kwenye hospitali , barabara mbovu , hakuna walimu na nyumba zao pia hamna ajira kwa vijana imekuwa tabu kupata ajira na mengine mengi . SASA HAWA WAMECHANGANYIKIWA AKILI AU ??