G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,704
- 36,456
Hatimaye wabunge wa CCM wameanza kumgeuka rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli, imefahamika.
Wabunge hao pamoja na mambo mengine wamedai operesheni nyingi za Magufuli zinazofanywa sasa zinaelekea kuidhoofisha CCM badala ya kuijenga.
Wabunge hao pia wamedai kuwa operesheni ya bomoa bomoa inayoendelea sasa haikubaliki na wamewataka mawazari Simbachawene na Willium Lukuvi kuwajibika.