Wabongo wanahadhirika SA.

Mleta mada kaileta kiushabiki ushabiki (wakenya vs watanzania), hivi kweli katika kusafiri kwako kote duniani umeona ni raia wa Tanzania tu ndo wanaadhirika nje ya nch yao? Ungekuwa na nia ya kuwapa msaada ungewasaidia badala ya kuja hapa na kuwadhiaki.
 

why do you need stat,its a well known fact.look i dont want to go there becouse i dont need to bring bad blood which seems to undergo in this forum.am new here and seem there is a confrontation between The TZ and kenyan.which i think its stupid or its kind of joke actually i took it as a joke,but people like you make me think otherwise.

Idiot you must know iam an african first before am a kenyan,and am here becouse
of the standards/culture thats connect the two countries.which i suppose language plays a big role.

So ibilisi like you trying to bring bad blood i confront with my all

Second udaku au umbea is misunderstood by people like u and your ilk.i suppose go back to school and get you grammar books and try to get something out of it
instead of playing the judge,which between me and you we know you are not half of it.

nenda usome udaku kisha uje tuongee.
 
wengi wao ni vijana wa mikoa ya pwani.. sansana tanga.. ilifika kipindi ilikuwa kama mtindo kuzamia
 
((((you better use your mother tongue as you can't express yourself properly in english. you really suffer from kenyariasis🙂))))

am having fan here,my first time i love it

i was told you guys wont disappoint me.tanzanian coconut
 

lol..small minded..sasa umeulizwa uthibitishe kauli yako kwa kuleta statistics umeshindwa unaanza kuwa defensive and abusive. I can see a picture of giullible zombie all over, how come msomi akatae kuleta takwimu? mie sina haja ya kuleta blood wala sijui nini, i have Kenyan siblings and i will be the last kwene hizo tambo zako. Nakuchek tu unavohanyahanya poor gullible & agitated zombie..
 
((((you better use your mother tongue as you can't express yourself properly in english. you really suffer from kenyariasis🙂))))

am having fan here,my first time i love it

i was told you guys wont disappoint me.tanzanian coconut
yeah, i feel like i finally got you and now you start to use abusive language, haha haha ha! you are a loser in this life.
 

Tatizo kubwa la ndugu zetu wakenya wengi ni arrogance behavior waliyonayo iliyochanganyika na stupidity. Huwezi kukuta watu wamekaa sehemu huwajui hawakujui ukawauliza nyie watanzania wakakujibu watakuaminije wewe sio shushushu au spy? Pili takwimu za wingi zimetoka wapi una statistics zozote kuprove hilo? Mwisho kabisa hata kama wako pale watanzania what is a big deal hapo kwani si wanatafuta maisha mbona husemi machangudoa wakikenya waliojazana SA au huwajui? Nenda Joburg utawakuta na Durban siku nyengine usije na taarifa za kidaku kama hizi
 

Mzee wa dozi kama kawaida yako another excellent dozi mkuu tehetehetehe!!
 
Maisha popote mkuu manake hata huku kwetu yale yale tu!
 
mkenya mwongo amefunga mdomo na sasa amefyata mkia ka mbwa na namwona anatetemeka kwa uwoga. eti ooh nilikuwa south africa, ooh sijui eti nilitaka kuona bandari kubwa africa, ooh nilikutana na wabongo wakanitongoza, ooh tanzanian coconut, bla bla bla. poh, hovyooo! sema tena basi tukushughulikie!
 
jamani mbona mnamuwashia moto huyu jamaa. sidhani kama ni kosa kusema kitu ambacho ameona. Acheni inferiority complex zenu bwana, wabongo wanapenda sana kujenga nyumba hewani na akili ya kufanya mambo magumu kupita uwezo. Hivi kweli south africa ni sehemu ya kukimbilia kutafuta maisha?

Nikiangalia watu wanavyokimbizana kwenye vikombe sishangai mtu akisema amewakuta wabongo wanajiandaa kwenda ulaya kutafuta maisha. Hatupitwi yote ni fikra finyu na uelewa mdogo wa hizo nchi wanazokwenda.
 
jamani mbona mnamuwashia moto huyu jamaa. sidhani kama ni kosa kusema kitu ambacho ameona. Acheni inferiority complex zenu bwana, wabongo wanapenda sana kujenga nyumba hewani na akili ya kufanya mambo magumu kupita uwezo.
Caro, speak for yourself. Hakuna aliyemuwashia moto huyo jamaa. Amejiwashia mwenyewe. Tunachofanya ni kumuongezea/kummwagia/kumnyunyizia petroli akaangike vizuri. Asafikirie wabongo wote ni maruhani!
 

Kwani hata mimi nilienda South Africa nikawakuta Wakenya wanauza vinyago na vipozi wengine wanamagari ya ku-hire watu wanapo hama mwisho wa mwezi kwenye nyumba mpya, Wakenya wengine wanavunja majumba na maduka ya watu wakishirikiana na Bongo Johannesburg. Wapo pia wakenya Machafu chafu kama wabongo huko South Africa sio wabongo peke yao.

Katika watu wote uliowaona SA umewaona wabongo peke yao? Mbona Mataifa mengine huyazungumzi au kwa kuwa nyani haoni kundulilake? Wakenya wangapi wanahangaika huko South Africa? mbona huu iambi Serikali yako ya Kikwenya kwenda kuwaokoa au kuwarudisha Kenya?

Hao wabongo wameenda kwa hiyari yao na watarudi kwa hiyari yao, Kwanza wewe huko bandarini ulienda kufuata nini? au na wewe ulienda kuzamia meli? Walikuomba pesa hao wabongo au walikuambia uwasaidie?
 
ungekamata hata wawili au wa3 ufanikishe kuwarudisha pambaaaaaf sao hao
 

HUYU atakuwa junkie,mtu kama huna kazi the state provides for your upkeep kwa hiyo the option ya kuombaomba does not exist
 
Tabia za Wakenya kujifanya wapo juu ndizo zinazosababisha wasipate msaada hata pale wanapohitaji msaada sana!!!

Thus y majuzi (last weekend) tulimuacha mdada wa Kikenya apigwe mande na wahuni wa Njoro Moshi kwa sababu za behavior zake na hakupata msaada wowote!!!

Mchana anajifanya ni afisaa, yupo juu kumbe changu mchafu!!!! Pumbaf kbsaa
 

Do you have an idea how many Kenyan girls came in europe as domestic servants and after their employment contracts wanajificha ili waendelee kubaki europe?? I know more than 20girls here, wana maisha magumu wengine wamejibebesha na mimba kabisa ili wazae watoto watakowasaidia kupata visa huku ughaibuni. Maisha yao huku ni mabaya sana na kurudi Kenya hawawezi coz they are here almost 5 years with nothing. Kuna watatu ni ndugu wametoka Kibera slums. We are organising some initiatives in our church kuwasaidia kupata chochote kitakacho wasaidia pindi wanaporudishwa kinguvu na serikali. So ndugu yangu kutafuta maisha sio kwa watanzania tu bali hata kenyans tena kwenye baadhi ya nchi wamekuwa mzigo usiobebeka.
 
Mleta hoja anasumbuliwa na Kibera syndrome.
 
"Wakazi watano wa Nakuru Kenya wagongwa na gari wakipigania mzoga wa punda"

source:the standard news paper
 
Na wakenya pia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…