Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
😍Hao wabongo waache upumbafu na waondoe matope kichwani. Huyo Diva angejenga nyumba ya nani? Kazaliwa peke yake kwa mama yake, hana ndugu wala baba, anaishi na mama yake aliyekuwa mgonjwa miaka mitano kasoro kiasi kwamba anahitaji uangalizi wa karibu. Ameishi na mama yake mwenyewe na uko kwao kijijini ni ujombani kuna wajomba kibao wanasubiri ajenge nyumba kisha waishi wao.
Unajua kuna wabongo wana akili za kizamani. Kwahiyo Wahindi wanaoishi NHC hawana hela au ni wajinga, cost benefit analysis haimruhusu Lulu Diva kujenga pale.
Unajenga nyumba ili wakija kuzika waipige picha? Unamjengea mtu unayeishi nae na hakuna siku atakaa kwenye hiyo nyumba. Hao wabongo wanadhani Lulu Diva ni mjinga alikuwa hajui ule ugonjwa hauna kurudi nyuma. Hawajui stress za kuuguza mama ukiwa mtoto wa pekee yani huna hata ndugu wa kushauriana nae wala baba hayupo. Tena kwa miaka minne plus
Nimemuuguza baba for over ten yrs, mama for more than 20!Hivi nyie mnajua stress za kuuguza? sio kuuguza wiki 1 au mwezi
Unazikwa ulikozaliwa au ulikoolewa! Kama Ni wabondei sawa wao waako tayari kuuza mashamba Wai Julie maiti waizike. If that is the case, then it is OkAmezikwa pale kwa sababu ndio alikozaliwa. Narudia point yangu, kujenga nyumba kisa watakuja kuzika siku mbili na kuondoka ni matumizi yasiyo ya lazima. After that hiyo nyumba haitakuwa na matumizi tena kwako. Watu hawajengi jengi tu
Uko sahihi if that is the case...kuzikwa alikozaliwaAmezikwa pale kwa sababu ndio alikozaliwa. Narudia point yangu, kujenga nyumba kisa watakuja kuzika siku mbili na kuondoka ni matumizi yasiyo ya lazima. After that hiyo nyumba haitakuwa na matumizi tena kwako. Watu hawajengi jengi tu
Kama Ni Mbondei, then it is Ok. Wabondei usipime na maiti! Wakorofi Sana na bila kumuhudumia mgonjwaHakua na mamlaka ya kuamua azikwe wapi. Angekua na mamlaka asingeenda huko ujombani labda. Mwili wa mbondei hauzikwi ugenini kirahisi eti ndio mila zao.
Lulu kamuuguza mama yake akamfia,amewapelekea maiti yao wakaiangalie na kuzika. Aachwe huyo binti. Huwezi ukajenga nyumba ujombani wakati ukitaraji kufurahisha watakaoenda misibani.
Mbona sijaona anayelalamika kwanini hakumhudumia mama yake?
Kuna wakati huwa nawaelewa sana wachaga kuhusu kujenga kwao, kurudi kwao kila mwaka na kujali maisha ya kijijini kwao.
Lawama za watu kwa Lulu Diva zimelenga kuonyesha kuwa wasanii wengi wa Tz wanaishi maisha ya kuigiza, hawana msaada wowote kwa jamii zao na ni mafukara wanaoishi mjini kiujanja ujanja.
Haijarishi hapo ni kwa bibi, ujombani au kwa binadamu yake Lulu Diva, lakini sote tunajua hapo ni kwao na ndio maana mzazi wake amepelekwa kuzikwa! Pangekuwa ni mahali penye nyumba na mazingira ya maana, picha zingekuwa zimejaa Instagram akiwa anaposti akiwa msibani kwa ufahari.
Tukubali jambo moja tu, hili la Lulu Diva liwe fundisho kwetu sote.
Ni tag wakirusha....Mlowajengea nyumba bibi zenu rusheni hizo nyumba tuone sio kumsema lulu tu
Kuna wakati huwa nawaelewa sana wachaga kuhusu kujenga kwao, kurudi kwao kila mwaka na kujali maisha ya kijijini kwao.
Lawama za watu kwa Lulu Diva zimelenga kuonyesha kuwa wasanii wengi wa Tz wanaishi maisha ya kuigiza, hawana msaada wowote kwa jamii zao na ni mafukara wanaoishi mjini kiujanja ujanja.
Haijarishi hapo ni kwa bibi, ujombani au kwa binadamu yake Lulu Diva, lakini sote tunajua hapo ni kwao na ndio maana mzazi wake amepelekwa kuzikwa! Pangekuwa ni mahali penye nyumba na mazingira ya maana, picha zingekuwa zimejaa Instagram akiwa anaposti akiwa msibani kwa ufahari.
Tukubali jambo moja tu, hili la Lulu Diva liwe fundisho kwetu sote.
Sasa hapo ame fake kitu gani?Point ni moja tu AACHE KU FAKE MAISHA....
Mlowajengea nyumba bibi zenu rusheni hizo nyumba tuone sio kumsema lulu tu
Point ni moja tu AACHE KU FAKE MAISHA....
Sasa hapo ame fake kitu gani?
Nimemuuguza baba for over ten yrs, mama for more than 20!
Hakuna excuse kwa kutokujenga nyumbani wengi wanaotetea vijijini kwao kutakua na tatizo, haiwezekani vijijini tupatelekeze kisa tupo mjini hapana lazima tuelezane ukweli tubadilike na sio huyo binti pekee wapo watu wengi na nyumbani haupatengenezi kwa ajili ya msiba tu hapana hata kwenda mapumziko
Hivi unakumbuka alivyotangaza kuwa mahari yake ni millioni 200..ndio maana watu wanakomaa nae...Angefake si angekataa hata kwenda kumzika kule.
Hivi unakumbuka alivyotangaza kuwa mahari yake ni millioni 200..ndio maana watu wanakomaa nae...
Tatizo la nyinyi mnaokulia kwenye pesa kila kitu mnakikuta mna shida sana. Nyie mnafikiri alikuwa hawazi hayo? Hivi ugonjwa ukifika kwenye nyumba yako unaweza anza kuwaza kujenga kwanza sehemu ya kumzika akifa au utahangaika na matibabu?Kwanini alikwenda kumzika huko? facts of our case are not in consonant with the actions after death! UKIJUA UTAMZKA HUKO UJOMBANI, BASI patengeneze angalau kwa nyumba ya tope iliyopigwa lipu, au usimzike huko after all wamemtelekeza, sasa why kumzika huko....