Wabongo tunasumbuliwa na roho fulani

Wabongo tunasumbuliwa na roho fulani

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,682
Reaction score
14,067
Naam hii ni aina ya roho chafu.

Nitajaribu kutoa mifano kidogo

Mtu anapofanikiwa huchukiwa, onewa wivu, semwa vibaya n.k.

Mtu anapofuliwa jamii husherehekea,hushangilia,habari husambazwa kila kona.

Imefikia pahala hata mtu akiugua watu hufurahi na kutabiri kwamba hawezi pona.

Sasa juzi kuna mtu kafariki akiwa mamtoni..... huku bongo kuna jamaa wanafurahi waziwazi kwamba eti alisha faidi maisha vya kutosha,
 
Sio Watanzania tu ni black wote, hata hapa Marekani black wana wivu sana, uchafu wote wa ubaya ni wao, kuna wakati nakereka sana kuwa black, uchafu wote tunafanya sisi
 
Back
Top Bottom